Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na vijana wa Dar hao.ndiyo nini hiyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu, khaaaahHuyo madevu aliejichubua ndo moo jei??
Anarusharusha vimikono namna na viapo vya kiwaki.
Sasa gigymoney kashindwa nini kumbonda uyo dogo,
Duuuuh jamanHawa wote hamnazo Ila huyo shoga
WA clouds ndo hamnazo zaid
So Giggy ndio katengeneza ujinga wote, alafu mwanaume anaemponda mwanaume sioni km ni mwanaumesasa ona mwanae mwenyewe wa kumzaa anamwona katili.
Giggy anajiliza huku kapaka make-up na kope za bandia watafack sijaelewa unazungumzia nini hizo ni Drama na Giggy ni mmoja wa Drama Queen anaejulikana na kila mtu hata yeye ameshasema mbele ya camera mara kadhaa kua amekua akifanya Drama, aendelee na kufanya Dramahajui kwamba huwezi kushindana na mwanamke kuongea na ugomvi wa wanawake hutakiwi kuingilia
Kajitongozesha insta unategemea nini? Wakina Mo J wazee wa kutoa mimba au sio? Wanawake wanawafuata wenyewe wanapigwa upako wa mimba? Baby mama ndio nini?Kuna mashoga, na kuna hawa wakina MO JAY.
Nilikuwa youtube napita pita nikaona hii clip ya Giggy money nimekuwa disappointed, hata kama mna tofauti kubwa vipi , mwanaume lijali you don't go out and fight na baby mama wako. a simple dinner ya kuelewana could solve this, yani mtangazaji una beba na mke wako to a fight, why?!! 🚮 Wapeni vijana walio serious kazi za media, learn to separate work and personal life, Giggy atafute lawyer ampige hela yeye na employer wake. Ffs
Huwajui wanawake mwanaume utakaza yakijaa lazima uongee yaan atakuchokonoa kila angle utaongea tu, wewe unasema hivyo sababu huwajui wanawake unawasikia na kuwaona tuMwanaume kubishana na mwanamke siyo vizuri.
Kwanini urushiane maneno na mwanamke? I mean any woman.
Siyo huyo.Hovyo kabisa. Hivi huyu mo j ndiyo aliimba ule wimbo mzuri na Billinass? Tena nika subscribe? Najiondoa Leo. Wanaume hatuko hivyo bro.
Chanzo ni wanawake wenyewe mfano Giggy, sikojoi sehemu km hio nipo tayari nikojolee mpiraBaadae atakuja kulalamika mtoto kalishwa sumu(maneno ya chuki) na Mama yake