Ni kama ndrama ni kama findiyo! 😀 Huyo Alfred Keter ni mbunge ameshikwa na bonds feki za milioni kathaa, nadhani ndo walikuwa wanataka kuzi'cash in' pale CBK! Huyu jamaa tangia muhula wake wa kwanza amekuwa kwenye madrama kibao. Kuna ile kashfa ya pale Mlolongo Weigh Bridge. Ambapo walikamatwa pamoja na madam flani mhindi, mbunge maalum, wakijaribu kuwalazimisha polisi waaachilie trela ambayo ilikuwa imekamatwa kwa kuwa na uzito ulozidi viwango.