Za leo wapendwa,
Jamani naombeni kuuliza, hivi ni kwa nini my hubby akienda kwenye vikao na wenzake ni mpaka nipige simu mara ishirini ndo unamuona anarudi home. Nisipofanya hivyo anaweza kuja saa nane au hata asubuhi. Nikimuuliza nini hasa ni tatizo, hana la kujibu zaidi ya kusema samahani. Then next time the same thing tena anarudia! Je hii nini naombeni munisaaidie maana nakereka sana na hii tabia yake. Nimeanza kupata na wasiwasi if our marriage will work out yani!
your new year resolution:
...next time kabla hajatoka kwenda 'vikaoni', nawe jiandae, jipodoe na uvae kihasara hasara... akikuuliza unaenda wapi, mwambie "nipo tu!"
...huyo hata akitoka atajibanza mtaa wa pili kuchungulia, au huko aendako baada ya dakika tano atarudi kuchunga mzigo wake.
...I like this!!! Unajaribu sumu kwa kuonja kwa ulimi??? Mh!!! I doubt if it can work any way!

Kama ana tabia hii kila siku iendayo kwa mungu, basi inabidi mkae chini mzungumze na wewe umwambie tabia hii ya kutoka kila siku mpaka usiku wa manane huipendi na samahani zake inaelekea si za kweli maana anakuomba samahani halafu kesho yake anarudia jambo lile lile alilokuombea samahani jana. Vinginevyo nendeni wote huko kwenye vikao ili mkaburudike wote.
Ndoa hazifanani dada yangu, kwahiyo acha ajaribu hiyo aliyopewa kwanza. Lakini inavyoonekana, ingawa hatujui ndoa yenu ina muda gani sasa, huyo bwana alianza kutingisha kuona kama imeisha. Wewe hukugundua kama anatingsha, ukakaa kimya mwisho akazoea sasa hatingishitena bali imekuwa starehe kwake. Kwa hiyo unachotakiwa ni kumwambia aache kutingisha, bado haijaisha. Nina maana unatakiwa kuwa serious na umuoneshe kuwa wewe bado unampenda na unathamini ndoa yenu, na kwamba kitendo anachokufanyia (kama wewe huna tatizo) kinahatarisha ndoa yenu. Na Kwa jinsi nionavyo mimi huyo bwana hana tatizo kubwa, kinachomsumbua ama ni ulevi tu au kuna kitu anakikimbia hapo nyumbani. Hivyo ukishindwa plan A hapo juu tafuta siku moja muombe mwende wote huko anakoenda. Kwasababu inaonekana bado anakuheshimu lazima atakubali, huko utajua ni kwanini anachelewa kurudi.Kuanzia hapo unaweza kutafuta nini cha kufanya. Jaribu kujenga tabia ya kumwomba utoke naye mara kwa mara, ni haki yako. Na wewe mwenyewe jaribu kuboresha life style yako, inawezekana kuna kitu kina "m-boa" anashindwa kukwambia tu ila anakupenda bado.Nilijarubi hiyo style ila haikufanya kazi. Maana nilishawahi kumwambia kwamba naenda town kutembea so akimalizana na vikao vyake aniambie kwa kweli ndo ikawa nampa mda wa kukaa zaidi.
Za leo wapendwa,
Jamani naombeni kuuliza, hivi ni kwa nini my hubby akienda kwenye vikao na wenzake ni mpaka nipige simu mara ishirini ndo unamuona anarudi home. Nisipofanya hivyo anaweza kuja saa nane au hata asubuhi.
This is perfectly natural behavior and it should be encouraged. The man is a hunter and he needs to prove his prowess with other men. A night out chasing young single girls is great stress relief and can foster a more peaceful and relaxing home. Remember, nothing can rekindle your relationship better than the man being away for a day or two (it's great time to clean the house too!) Just look at how emotional and happy he is when he returns to his stable home.
The best thing to do when he returns home is for you to prepare hot water for him to take shower and then cook him a nice meal.