4X4byfar
JF-Expert Member
- Oct 29, 2008
- 201
- 21
- Thread starter
- #41
Dadangu kwa kweli una mtihani, ila kama walivyokueleza wenzangu hakuna dawa mbadala. Jaribu zote huenda moja itafanyakazi kwa hubby wako. Si unajua tena uendawazimu wao unatofautiana.
Ndugu yangu ngoja nikupe neno, hakuna mtu mwoga wa kuachwa kama mwanaume, ndiyo maana kila wakati anajitahidi awe na pa kuegemea akijifanya mjanja kumbe hana lolote. Mwambie aende jumla huko anakoona kunamfaa siyo anaugawa usiku, nusu huko nusu karudi. Dunia yenyewe hii ukimwi kibaooo. asije akakuletea la kukuletea bure.
Hebu mvalishe chupi nyeupe wakimchezea utajua halafu mshughulikie sawasawa.
Heeeeeeeeeeeeh! umenifurahisha ndugu, ehe chupi nyeupe akivaa utakuta nini! Makubwa sijawahi kusikia haya. Ama kweli JF Kiboko ya wao!