Za leo wapendwa,
Jamani naombeni kuuliza, hivi ni kwa nini my hubby akienda kwenye vikao na wenzake ni mpaka nipige simu mara ishirini ndo unamuona anarudi home. Nisipofanya hivyo anaweza kuja saa nane au hata asubuhi. Nikimuuliza nini hasa ni tatizo, hana la kujibu zaidi ya kusema samahani. Then next time the same thing tena anarudia! Je hii nini naombeni munisaaidie maana nakereka sana na hii tabia yake. Nimeanza kupata na wasiwasi if our marriage will work out yani!
Wee 4X4 hivi huyu your hubby ndo yuleyule uliyesema kwamba ni mvivu kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa au mwingine. Kule tulikutaka uweke mambo wazi zaidi lakini yaonekana ulificha. Sasa naanza kupata picha nyingine baada ya kusoma maelezo yako kwenye jukwaa hili. Nakushauri rudisha hoja yako kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa ili ushauri uwe na wigo mpana zaidi
Za leo wapendwa,
Jamani naombeni kuuliza, hivi ni kwa nini my hubby akienda kwenye vikao na wenzake ni mpaka nipige simu mara ishirini ndo unamuona anarudi home. Nisipofanya hivyo anaweza kuja saa nane au hata asubuhi. Nikimuuliza nini hasa ni tatizo, hana la kujibu zaidi ya kusema samahani. Then next time the same thing tena anarudia! Je hii nini naombeni munisaaidie maana nakereka sana na hii tabia yake. Nimeanza kupata na wasiwasi if our marriage will work out yani!
Kama hiyo haikufanikiwa,tafuta siku ya week-end/public holiday halafu unajikwatua vizuri;obvious lazima atakuuliza safari ya wapi;halafu mwambie kuna rafiki yangu wa siku nyingi tuliachana kitambo naenda kuonana nae(jinsia=kiume) halafu unatwanga simu mbele yake uko wapi hivi sasa.....Nilijarubi hiyo style ila haikufanya kazi. Maana nilishawahi kumwambia kwamba naenda town kutembea so akimalizana na vikao vyake aniambie kwa kweli ndo ikawa nampa mda wa kukaa zaidi.
Ukiona mume wako hana chembe ya kajiwiivu na wewe (ujue kuna mahari kashapata anapumzika huko) na hivyo hata ukimuaga unaondoka nyumbani hatakuuliza muda unaorudi wala unakokwenda. pia ukichelewa kurudi atakuwa kimya. Akifanya hivyo kwa zaidi ya mara mbili ujue hana shida sana na wewe, na wala si kwamba eti anakuamini sana. Anataka na wewe usimfuatilie nyendo zake full stop.
Kama hiyo haikufanikiwa,tafuta siku ya week-end/public holiday halafu unajikwatua vizuri;obvious lazima atakuuliza safari ya wapi;halafu mwambie kuna rafiki yangu wa siku nyingi tuliachana kitambo naenda kuonana nae(jinsia=kiume) halafu unatwanga simu mbele yake uko wapi hivi sasa.....
Akikuzuia mwambie mbona wewe unafanya haya lakini.....,sasa kuanzia hapo ndiyo unamshushia zigo la hizo kero zako.
Kama haitafanya kazi ni-PM nitakupatia Plan"B".
Pole sana Mama. Your Hubby takes your love for granted. Ni mtu asiyethamini thamani ya mapenzi na haswa pale anapotambua anapendwa yeye. Dawa ni kumweleza kwa kina jinsi usivyoipenda tabia hiyo na vitabia vingine vyake vidogo vidogo baada ya hapo akitoka usimpigie simu mpaka arudi mwenyewe bila simu. Mzee anakugeuza kengele, mpaka kengele ikilia ndio ajue muda wa kurudi nyumbani.
Baadhi ya wanaume wakijua wanapendwa, basi ndio wanadeka. Next time atakuja fanya funny things na ataomba msamaha, na kwa vile unapenda, utasamehe na kwa vile he takes you for granted, atarudia tena. By the way, vile vikao vimepungua, ua sasa ndio vimehamia huko?.
Ukiona mume wako hana chembe ya kajiwiivu na wewe
(ujue kuna mahari kashapata anapumzika huko) na hivyo hata ukimuaga unaondoka nyumbani hatakuuliza muda unaorudi wala unakokwenda.
pia ukichelewa kurudi atakuwa kimya. Akifanya hivyo kwa zaidi ya mara mbili ujue hana shida sana na wewe, na wala si kwamba eti anakuamini sana.
Anataka na wewe usimfuatilie nyendo zake full stop.
It is very true he is taking my love for granted. Can you give me some clues za kutomuonyesha my love maana nashindwa nifanye nini sasa. Na kupika nimeacha sasa ajipikiege mwenyewe.
Yani ndugu ni kama unanijua vile. Yani hivyo ndivyo alivyo yani. Nimekuwa nikipigiwa simu na wanaume (za geresha tuu) yeye wala hana habari. Na mimi akipigiwa namuulizaga vizuri tuu, ila anakuwa mkali kweli. Kama jana kuna simu kapigiwa na dada mmoja yuko Norway alimsaidiaga maana alikwamaga one day akamdirect kwa watu husika. Imekuwa nongwa mpaka sasa wanakaribishana kutembeleana...! Mmmh kweli ndoa ndoano.
Sasa wewe fo by fo by fa!!
Mwanaume gani anapenda kupigiwa simu mara 20? Nani anataka awe under control ya mkewe jamani?!!. Kwa hilo la simu ishirini tu tayari mtu anaweza kupata hisia za tabia zilizobaki
Mimi wakwangu alijaribu simu kede-kede akashindwa; kwa sasa nikivaa na yeye anavaa kisha tunatoka pamoja - Mapenzi yamerudi, hamu imerudi na spidi ni 120 hata kwenye kona
Vaa uende nae, unywe na uwe modern uone utamu
...huenda mumeo yu katika mid life crisis. Cheche zilizokuwa zinachochea moto wa mapenzi baina yenu kwa kiasi fulani zimefishwa. Bahati mbaya, ndoa nyingi hupitia 'mawimbi' kama hayo, wenye busara na wabunifu wa kung'amua ndio huvuka salama. Jitahidi usijekipindua chombo.
Mgomba huo mama, palilia...
Asante, but nadhani mgomba hupaliliwa kwa pamoja sio mtu mmoja kama sijakosea!
Asante,
Ni PM unipe hiyo plan B mwaya.
Asante.
Iyo plan B sijui......kwenye PM tena?
...chenga ya mwili, huenda 'better half' wake pia ni mwanachama hapa...
hodi humu ndani! nimeguswa na hii thread ikabidi niingie nichangie kidogo, wangu alikuwa na tabia kama hizo , alianza kidogo kidogo mwisho alizoea kabisa, tligombana sana wakati wa mwanzoni baadae nikaona ngoja nimuache amalize mambo yake then akiamua atatulia mwenyewe, tulikaa miezi kama 3 akitoka anaamua kulala huko akiamua anarudi ili mradi tu, ndani ya hiyo miezi 3 nilimuwekea ngumu haswa, sikuwahi kumuuliza umelala wapi wala hiki wala kile, akija asubuhi anakuta nimemuandalia kama kawaida bila kumuuliza lolote, akakaa akafikiria akaona hali ni mbaya,mwenyewe siku hiyo kajirudia mapema akaniomba maongezi, tukayasuluhisha, but alikoma mpaka leo hajarudia kulala/kukaa nje mpaka mausiku.jitahidi kupambana hawa wanaume ukiwaendekeza tu basiiiiii