What is wrong with African football?

Tatizo ni fundamentals. Nimeongea na jamaa mmoja mmbongo anasoma soca anasema nchi za africa hazijengi mpira katika grass route level. Katika level ile ndio mtu anajifunza kucheza mpira. Akifika youth team...sio kujifunza bali ni kucheza sasa! Tatizo sisi tunataka kwenda uwanjani bila preparation...lazima mfungwe. Mtasema timu kama nigeria ina wachezaji. Mimi napinga. Ile game na Korea uliona jinsi wa-Korea walivyokuwa wanaingia katika open spaces? Hiyo ni discipline ya kazi. Wamefundishwa toka utotoni. Tofauti kabisa na sisi!
 
tatizo ni self discipline.......
hatuna kabisa.............


Nakubaliana sana na wewe, nitaongeza ubinafsi na ego, halafu hatuchukulii hiyo kama ni kazo ambayo lazima iwe co-ordinated, kila mchezaji ajue wajibu wake, asikate tamaa na acheze dakika tisini kwa nguvu zote. Pia lishe nayo iwe nzuri, siyo wingi wa chakula lakini nutritionist awaeleze what to eat when and how. kati ya yote njaa ya kushinda itawale.
 
Hahahahahaaaa...what's wrong with African football? Kwani ni football tu? Lol....niseme nisiseme? Nadhani wote mnajua ninachotaka kusema na siku hizi wala sisemi sana maana naona kila mtu anatambua tatizo la Waafrika ni nini...
 
Mi nadhani kama ni kupewa nafasi katika kombe la dunia, africa inastahili kupunguziwa nafasi zake. Kwa matokeo ya awamu ya makundi, Africa imefaniwa kuvusha tim 1 tu kati ya timu sita (17%), Ulaya wamevusha timu 6 kati ya 14 walizokuwa nazo (43%), Asia wamevusha 2 kati ya zao 4 (50%) wakati america and carebean wamevusha 7 kati ya nane (>87%). Hii inashawishi kuwa africa na Ulaya wanatakiwa wapunguziwe nafasi za ushiriki waongezewe America&Carebean na Asia..
 
Africa wanatakiwa wapewe nafasi tatu zinawatosha au kama hizi basi tuwe tunashiriki kwa zamu zamu..west..then east..north etc
 
Huu ukokotoaji hautumii kanunu sahihi - naomba kwenye kanuni yako ugawanye wingi wa nchi katika mabara husika kisha ndio utafute hiyo asilimia ya kulinganisha!
 
Mimi nadhani Afrika wapewe ban ya miaka 50 kutoshiriki WC.....Labda ndio watatia akili
 
Kwa Ushauri wangu mimi naona Asia waongezewe nafasi kutoka 4 mpaka wapewe 6 Waafrika kazi yao kula Ugali na Fufu na kucheza ngoma za kiasili,na mambo ya wanawake tu.Hakuna Mpira Afrika kazi yao ni kutegemea Mpira wa Uchawi hawajuwi kucheza Mpira Waafrika kila siku waafrika watakuwa Wasindikizaji wa World Cup.
 
timu za afrika zinatia hasira ...............timu 6 inaingia moja! agggggrrrr wachezaji wa afrika wavivu bwana......wawaangalie wenzao wa Asia, wafupi lakini stamina ya uhakika na wana moyo hasa wa kuhangaikia goli.


world cup ijayo zitakuwa tano tu kwa hiyo itakuwa tayari zishapunguzwa.........
 
Maneno kama yaliwahi kutolewa na aliyekuwa kocha wa Ujerumani, Bert Vogts baada ya Nigeria kubugizwa mabao 4-1 na Danmark ktk raundi ya pili ya France 1998, lakini maneno yake yalimgeuka baada ya timu yake mwenyewe kubugizwa mabao 3-0 na Ureno na kutupiwa virago.
 
mimi nadhani afrika wabaki na nchi nne na ulaya wabaki na nchi nane.... maana tunapeleka wasindikizaji tu

na kama ningekua mimi, basi ningefanya wachezaji wote waafrika kwa kutuaibisha wafanye kazi ya uhudumu hoteli za waliofuzu hadi weldi kapu iishe

ningefurahi kumuona kenge etoo aliyenuinua saa za zaidi ya bilioni moja akimsevu skertel juisi, na drogba akimmiminia maziwa fresh diego forlan na kale kajamaa kenye pumu kanaitwa shabalala kakimkaangia mayai timotheo apiah

maan saizi mingine ishaenda holiday, gademu
 
Sioni sababu za msingi za kupokonywa.

Timu 31 zinazoenda WC ni timu bora zaidi duniani ktk kanda wanazotoka...hivo kule hakuna vibonde, ndio maana timu za Afrika zilishawahi kugawa maumivu kwa mabingwa watetezi (ref. Cameroon vs Argentina, Senegal vs France). Hivo kigezo cha ukibonde hakipo applicable..
 
kwa mfano there is no reason on earth or over the hell, kwamba ni kwa nini Cameroon wamelize michezo mi3 bila hata point 1!
 

umenikumbusha fufu, umewahi kaa west africa??
 

umewaonea America kusini kuwaunganisha na Carebean, ni kwamba mpaka sasa america kusini wameingiza timu zote tano 100%
 

mabaga guzwa bazakushaya wena!!! lugha kali zitakufikisha pabaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…