Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
Tatizo ni fundamentals. Nimeongea na jamaa mmoja mmbongo anasoma soca anasema nchi za africa hazijengi mpira katika grass route level. Katika level ile ndio mtu anajifunza kucheza mpira. Akifika youth team...sio kujifunza bali ni kucheza sasa! Tatizo sisi tunataka kwenda uwanjani bila preparation...lazima mfungwe. Mtasema timu kama nigeria ina wachezaji. Mimi napinga. Ile game na Korea uliona jinsi wa-Korea walivyokuwa wanaingia katika open spaces? Hiyo ni discipline ya kazi. Wamefundishwa toka utotoni. Tofauti kabisa na sisi!