Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Passive,Integrated Grain Storage and Electronic Commodity Exchange Market inafahamika?
Mkuu nahitaji kuwaona hawa trade mark east africa ofisi zao ziko wapi kwa dar?Tembelea
tantrade.or.tz | Linking Production to Markets
Kisha pakua fomu hii.
http://tantrade.or.tz/sites/all/public_files/docs/Application Form _Kiswahili 2017.pdf
Ukifanikiwa kushiriki karibu unitembelee mimi huwa ni
Temporary office mule ndani kwa ajili ya kuyatangaza maonyesho.
Na kunawakati huwa natoa offers kama hizi.
Fursa Kwa Wajasiliamali wa JF. Karibu Ujitangaze Kupitia SABA SABA NA PPR Utokee Kwenye TV 5!. - Google Search
https://www.google.com/url?sa=t&sou...dmILMRwDeCs9YYxzw&sig2=WNTJMf8qsWDk8NHri-o7zA
P.
Wako 50 Mirambo, oppsite Umoja House.Mkuu nahitaji kuwaona hawa trade mark east africa ofisi zao ziko wapi kwa dar?
Nyie mnasema watu wanavyeti huyu hapa failure mwingine!! Tanzania jaman kuna watu wa aina ya huyu Pascal 99%Hizo Tanzanite India inayoongoza kuuza, na Afrika ya Kusini, wanazipata wapi?!. Hivyo vinyago hao Wakenya wanavipata wapi?!. Hayo Mahindi jee?.
Paskali