What is Wrong with Tanzania?!. Tunashindwa Nini Kufikisha Bidhaa Zetu Kwenye Masoko ya Kimataifa?!.

Nashukuru sana kwa maelekezo yako mazuri.mambo yakiwa mazuri nitakutafuta kwa ajili ya matangazo
 
Mkuu nahitaji kuwaona hawa trade mark east africa ofisi zao ziko wapi kwa dar?
 
Hizo Tanzanite India inayoongoza kuuza, na Afrika ya Kusini, wanazipata wapi?!. Hivyo vinyago hao Wakenya wanavipata wapi?!. Hayo Mahindi jee?.

Paskali
Nyie mnasema watu wanavyeti huyu hapa failure mwingine!! Tanzania jaman kuna watu wa aina ya huyu Pascal 99%
Wamesoma ila hawaelewi!!



Ebu nikufafanulie ww mtanzania Mwenye elimu ya cheti feki


Ni kwamba anasema:
Tanzania ndie basic wa kuwa Na hivo vitu Tanzanite,Korosho,Mahindi lakin tumekua kama kijiji ambacho tunashindwa kuziprocess Bidhaa zetu kwa viwango ili kuuza kwenye soko la kimatatifa....Matokeo yake Mataifa mengine yanatumia hyo chance na kuviprocess na kuviuza nje kwa faida kubwa kuliko ss wenye navyo wakati tungekua na mipango mizuri ss ndo tulitakiwa tuwe wauzaji namba Moja ktk kila sehem kwenye soko la kimataifa na kutuingizia kipato na jina kubwa kuliko hivi sasa!!.

Ni sawa na kijijin wakulima wanazalisha afu wanaotajirika n wafanyabiashara wanaoenda kununua mazao kwa bei ndogo nawao kujipatia faida Mara dufuu!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…