Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Bora we unaficha mimi natafuna nameza mawino yote πHuyo ni Mimi kabisa, nikiona mambo hayaeleweki naficha tu nasema matokeo Hadi tukifungua shuleπ π
Wewe sikuweziππ.. me nilikua naficha, au naacha tu shuleni ieleweke moja ili hata ikitokea siku kuna msako hawakuti kitu πππBora we unaficha mimi natafuna nameza mawino yote π
Tatzo alikuwa dada alafu darasan alikuwa vizuri sana yeye yake ni namba 1 tu mpaka anamaliza form 6Wewe sikuweziππ.. me nilikua naficha, au naacha tu shuleni ieleweke moja ili hata ikitokea siku kuna msako hawakuti kitu πππ
Mlikua wote darasa mojaπππTatzo alikuwa dada alafu darasan alikuwa vizuri sana yeye yake ni namba 1 tu mpaka anamaliza form 6
Hapana shure moya arikuwa kanitangulia, kama n mdomo alijaliwa.Mlikua wote darasa mojaπππ
With clear evidenceHe must report to the police station, that his life is in danger.
πππ, mimi kusoma na ndugu shule moja ndo kitu nilikua sikitaki aiseeHapana shure moya arikuwa kanitangulia, kama n mdomo alijaliwa.
Sasa hutaki we ndio unalipa ada ππππ, mimi kusoma na ndugu shule moja ndo kitu nilikua sikitaki aisee
Mbona shule zipo nyingi sana jamani kwanini kubanana shule mojaππSasa hutaki we ndio unalipa ada π
Ndio mzazi kashaamua utampinga?Mbona shule zipo nyingi sana jamani kwanini kubanana shule mojaππ
kwakweli hakuna namnaNdio mzazi kashaamua utampinga?
Ndivyo ilivyokwakweli hakuna namna