Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Bora we unaficha mimi natafuna nameza mawino yote ๐Huyo ni Mimi kabisa, nikiona mambo hayaeleweki naficha tu nasema matokeo Hadi tukifungua shule๐ ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora we unaficha mimi natafuna nameza mawino yote ๐Huyo ni Mimi kabisa, nikiona mambo hayaeleweki naficha tu nasema matokeo Hadi tukifungua shule๐ ๐
Wewe sikuwezi๐๐.. me nilikua naficha, au naacha tu shuleni ieleweke moja ili hata ikitokea siku kuna msako hawakuti kitu ๐๐๐Bora we unaficha mimi natafuna nameza mawino yote ๐
Tatzo alikuwa dada alafu darasan alikuwa vizuri sana yeye yake ni namba 1 tu mpaka anamaliza form 6Wewe sikuwezi๐๐.. me nilikua naficha, au naacha tu shuleni ieleweke moja ili hata ikitokea siku kuna msako hawakuti kitu ๐๐๐
Mlikua wote darasa moja๐๐๐Tatzo alikuwa dada alafu darasan alikuwa vizuri sana yeye yake ni namba 1 tu mpaka anamaliza form 6
Hapana shure moya arikuwa kanitangulia, kama n mdomo alijaliwa.Mlikua wote darasa moja๐๐๐
With clear evidenceHe must report to the police station, that his life is in danger.
๐๐๐, mimi kusoma na ndugu shule moja ndo kitu nilikua sikitaki aiseeHapana shure moya arikuwa kanitangulia, kama n mdomo alijaliwa.
Sasa hutaki we ndio unalipa ada ๐๐๐๐, mimi kusoma na ndugu shule moja ndo kitu nilikua sikitaki aisee
Mbona shule zipo nyingi sana jamani kwanini kubanana shule moja๐๐Sasa hutaki we ndio unalipa ada ๐
Ndio mzazi kashaamua utampinga?Mbona shule zipo nyingi sana jamani kwanini kubanana shule moja๐๐
kwakweli hakuna namnaNdio mzazi kashaamua utampinga?
Ndivyo ilivyokwakweli hakuna namna