Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi si kama zile zako unapost picha zako umekamatia kalio la demu wako mumelowa mvuaNyuzi nyingine bhana!
Ni nyuzi kama zingine tu, ila inategemea zimekukuta katika Hali gani. Maana huenda unawaza Kodi ya nyumba saa hiziNyuzi nyingine bhana!
Bora hii kuliko zile za kwakoNyuzi nyingine bhana!
Unaongeza 1 nyuma ya sifuriAtafute red pen afanye marekebisho hapo fasta fasta😃😃
Yeah,, kazi rahisi tu mbona😃😃Unaongeza 1 nyuma ya sifuri
NakaziaUnaongeza 1 nyuma ya sifuri
Kazi ipo kama mshua masta ni msomiYeah,, kazi rahisi tu mbona😃😃
naona hiyo karatasi inaonyesha marks tu sio na maswali na majibu 😂😂😂Kazi ipo kama mshua masta ni msomi
Lazima ina maswali pia 😂naona hiyo karatasi inaonyesha marks tu sio na maswali na majibu 😂😂😂
Kama ina maswali na majibu imekula kwake😃😃... au basi aseme hawajapewa matokeo😂😂Lazima ina maswali pia 😂
Hizo misheni za kuteketeza ushahidi nimezifanya sanaKama ina maswali na majibu imekula kwake😃😃... au basi aseme hawajapewa matokeo😂😂
Huyo ni Mimi kabisa, nikiona mambo hayaeleweki naficha tu nasema matokeo Hadi tukifungua shule😅😅Hizo misheni za kuteketeza ushahidi nimezifanya sana