Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga mkubwa.
Watu wanaua/kuawa kwa kushindwa kutumia akili wakati wa tukio.
Ila hata wenyewe wangepewa muda wa kutumia akili
na kusema kama ni busara au ujinga (Kuua/kujiua)
wengi wangesema ni ujinga tu.
Ndio maana sheria inawapunguzia adhabu, they were insane.
Anti Shkamoo... umepotea sana, sio vizuri!B2T,Mwali umeongea as if woote ambao huwakuta inakua ndani ya uwezo wao kuepusha...
.BTW Naomba na comment yako SI, Isije ikawa inaingiliana na case ya yule mke wa mtu anaekupenda....
.upumbavu wa hali ya juu yanini kujiua na kumuacha yeye duniani akila raha za maisha wewe saiyo uko kuzimu mana mbingu hutaiona
Ujinga mkubwa.
Watu wanaua/kuawa kwa kushindwa kutumia akili wakati wa tukio.
Ila hata wenyewe wangepewa muda wa kutumia akili
na kusema kama ni busara au ujinga (Kuua/kujiua)
wengi wangesema ni ujinga tu.
Ndio maana sheria inawapunguzia adhabu, they were insane.
.Hapa ndipo concept ya Standing in Love inapokuwa na nguvu kuliko Falling in Love..
.Kujiua au kuua kwa sababu ya mapenzi ni upungufu wa akili wa aina yake.
Hiyo ni akili, ni ushujaa. Haujajiua wewe, umeuwawa wakati unasimamia kile unacho amini kua sawa. But it is a bit extreme..
The other side of coin, suppose mpenzi wako ametekwa, si itakubidi upambane kumwokoa? Ktk kupambana unaweza kuua, hapo utazungumziaje..
Kujiua au kuua kwa sababu ya mapenzi ni sahihi?
Kujiua au kuua kwa sababu ya mapenzi ni sahihi?