..what is your comment..

..what is your comment..

Umenikumbusha wimbo wa Kiba Mapenzi yana Run dunia.... Jamaa alijiua baada ya kuhisi rafiki yake anatoka na Mpenzi wake (Kiba) na kwamba huyo binti ampenda Kiba; Sasa hapa swali Linabaki sasa alijiua sababu anampenda saana Mpenzi wake hivo kamuacha awe na Kiba kwa amani? Ama alijiua baada ya kuona kua kumbe ana umuhimu? Ama sababu ya roho kuuma na kuchanganikiwa?

B2T... In both cases; Kisheria, Ki Imani za dini na Kimaadili katika Jamii sio sawa wala sio sahihi.... Ila ukweli unabaki kua sometimes tuna Roho ya Ukatili saana dhidi yetu ama dhidi ya Wapenzi linapokuja Maswala ya Mapenzi ambayo hata sisi wenyewe wamiliki hatujui kua tunayo.
 
BTW Naomba na comment yako SI, Isije ikawa inaingiliana na case ya yule mke wa mtu anaekupenda....
 
Ujinga mkubwa.
Watu wanaua/kuawa kwa kushindwa kutumia akili wakati wa tukio.
Ila hata wenyewe wangepewa muda wa kutumia akili
na kusema kama ni busara au ujinga (Kuua/kujiua)
wengi wangesema ni ujinga tu.
Ndio maana sheria inawapunguzia adhabu, they were insane.
 
Mwali umeongea as if woote ambao huwakuta inakua ndani ya uwezo wao kuepusha...
 
Mwali umeongea as if woote ambao huwakuta inakua ndani ya uwezo wao kuepusha...
Anti Shkamoo... umepotea sana, sio vizuri!B2T,
nadhani nimesema kua they are insane, na mtu insane hana control over his action
ndio maana wanapunguziwa adhabu, sababu akili zao zinashindwa kufanya kazi.
Kuua na kujiua ni ujinga. Ila hisia za wakati huo zinaweza kumfanya mtu kuona ujinga kama busara.
 
BTW Naomba na comment yako SI, Isije ikawa inaingiliana na case ya yule mke wa mtu anaekupenda....
.
AD ondoa hofu! Nimeandika huu uzi coz nimekumbuka binti wa watu mpooole aliuwawa pale Mabibo hostel na jamaa waliekua wanafanya nae uzinzi. Pili, kuna binti mmoja (5 years ago) alishawahi kutishia kujiua kwa ajili yangu!
 
well unajua somethongs are best understood wen experienced.
sasa kama mutu kajiua becoz ya mapenzi wewe ambaye sio muhusika ni rahisi sana kusema kuwa huo ujinga becoz u speak with no emotions wala hujui huyo mtu amesacrifice vingapi....sisemi kuwa i sympasize bali i can empathize
 
upumbavu wa hali ya juu yanini kujiua na kumuacha yeye duniani akila raha za maisha wewe saiyo uko kuzimu mana mbingu hutaiona
 
kumbuka ww wajiua huku mwenzio anavuta kupya na kuendeleza maisha,nan kapoteza hapo?cjui maybe cz maumivu hutofautiana.LOVE IS LIKE CHINESE MOBILE NO GUARANTEE...lijue hilo
 
upumbavu wa hali ya juu yanini kujiua na kumuacha yeye duniani akila raha za maisha wewe saiyo uko kuzimu mana mbingu hutaiona
.
I think wale wanaofanya hivyo ni wale wenye upendo wa kweli na wa dhati kabisa!
 
Ujinga mkubwa.
Watu wanaua/kuawa kwa kushindwa kutumia akili wakati wa tukio.
Ila hata wenyewe wangepewa muda wa kutumia akili
na kusema kama ni busara au ujinga (Kuua/kujiua)
wengi wangesema ni ujinga tu.
Ndio maana sheria inawapunguzia adhabu, they were insane.

Hapa ndipo concept ya Standing in Love inapokuwa na nguvu kuliko Falling in Love..
 
Kujiua au kuua kwa sababu ya mapenzi ni upungufu wa akili wa aina yake.
 
Kujiua kisa mapenzi huwa naona si busara kabisa na siku zote usiruhusu hisia zikutawale la sivyo utakuwa mtumwa.
Eti unakuta mtu anajiua kisa ameachwa cha kujiuliza je akifa na penyewe utajiua. Mi ninachoweza kusema ni kuwa mtu kujiua kisa mapenz ni ufinyu wa fikira au mawazo
 
Kujiua au kuua kwa sababu ya mapenzi ni upungufu wa akili wa aina yake.
.
The other side of coin, suppose mpenzi wako ametekwa, si itakubidi upambane kumwokoa? Ktk kupambana unaweza kuua, hapo utazungumziaje..
 
.
The other side of coin, suppose mpenzi wako ametekwa, si itakubidi upambane kumwokoa? Ktk kupambana unaweza kuua, hapo utazungumziaje..
Hiyo ni akili, ni ushujaa. Haujajiua wewe, umeuwawa wakati unasimamia kile unacho amini kua sawa. But it is a bit extreme.
 
ukishakufa unapata faida gani? Wanakufukia wanakusahau na mwanamme/mke uliyejiua kwa ajili yake anasonga mbele anapata mwenza mpya wanafunga ndoa wanazaa watoto wanajukuu nk nk
 
Kujiua au kuua kwa sababu ya mapenzi ni sahihi?

Ikiwa mapenzi ni raha nikiikosa pamoja naweza kuipata pengine katu siwezi kuiacha raha kwa hiari yangu! Jawabu sitojiuwa kwani kufanya hivyo ni kuikimbia raha!
 
Kujiua au kuua kwa sababu ya mapenzi ni sahihi?

Si sahihi kabisa tena hasa kwa ajili ya mapenzi. Hivi kabla hujajiua fikiri ni nani atapata hasara kwa kujiua kwako na pia do you know where you are going after death! Hopeful hasara nyingi zitakuwa kwako we unayetaka kujiua.Ukitendwa ktk mapenzi take it as a life challenge!Overcome it and move forward!
 
Back
Top Bottom