Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Samaki wa mchuzi au kukaanga na ughali wa dona au mtama/uwele!!! Na ,mboga za majani au kachumbari kidogo,ukiwa umetengeneza rost ya mbogamboga kama colyfower, hoho, biringanya, bamia, nyanya chungu!!! Du huwa sikinai kabisa. Pia kuku wa kubanika na ughali niliyotaja! Wali antenna haikamati. Ndizi ni second best, mpenzi wife ndiyo staple food yao hivyo anaipika na nyama ya kutosha na utumbo juu!! Halafu kuna majimbi ya kwao anachanganya!!! I married a wife, companion, mother, chef, etc. Hadi kifo kitutenganishe!!!! Tulishasheherekea 25!!!! Tunasubiria mingine!! Hope we will cherish and celebrate 50th anniversary together!!!
Kiusema na ukweli Kama kuna siku najisikia vzr basi mlo iwe hivi..
Asubuhi chai ya rangi yenye mchai chai na vitumbua au chapati!! Mchana lunch iwe ugali sembe safi, dagaa a kigoma na mlenda wa bamia!! Usiku wali nazi maharage na mchicha huku kachumbali yenye pilipili mbuzi! Mimi hata Kama iwe Xmas nipate huo msosi najisikia vizuri sana
Hahahahaaaaaa....!Huyu mwambie apunguze kula unene utamtoa roho lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hahahahahahahahahahahahahahahaha napenda wali njugu hapo sasaNdizi matoke ndo inakwaje?matoke ni nini?
farkhina!mzima mkwe wangu?miss u much
hahahaha kweli kabsaHuyu mwambie apunguze kula unene utamtoa roho lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums