103.3 Classic FM
Mimi radio ninayosikia naona ya kijanja ni East Africa radio iko vizuri kinoma.taja yako tuone ipi inasikilizwa Sana na Wana JF members.
Tupo pamoja nikiwa daslamu nasikilizaga TBC internationalinamaana hakuna anaesikiliza tbc taifa jamani...mimi napenda sana kusikiliza tbc international