What is your favorite radio station.?

What is your favorite radio station.?

Siku hizi kuna redio za makundi yafuatayo:

1. Radio za matangazo exclusively.

2. Radio ambazo ni masihara.

3. Radio za chama tawala tu exclusively.

4. Radio zilichoka, na hazitaki kujaribu hata kuwa wabunifu.

5. Radio za dini exclusively.

Naitafuta clouds ya 2000's sijaipata. R.I.P.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Radio Maria&Radio Tumaini!

Sometimes EA Radio na Radio One.
Mie ninazo hizo nne nadhani kuzitaja sijavunja content ya uzi maana zote nazipenda.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
EA radio nachosikitika ni kwamba yaelekea mwaka sasa hawasikiki tabora.
Hatujui tatizo ni lipi tukiwapigia simu hawarespond sijui wana maana gani
Mimi radio ninayosikia naona ya kijanja ni East Africa radio iko vizuri kinoma.taja yako tuone ipi inasikilizwa Sana na Wana JF members.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom