What is your purpose in this life?

My purpose huwa ni kuwa na furaha na kuona watu wa karibu wakipata furaha I'm enjoying the journey while striving to reach destination, my purpose in this world isn't merely to occupy space, but to make a change even if it is a smallest change!
See, it easy...thats it!
 
Denzel washington kwenye movie yake 1 anasema siku mbili muhimu katika maisha yako ni siku ya kuzaliwa na siku utakayojua your purpose in life.
You got me, cheers πŸ₯‚
 
Purpose ni kusudio la kwanini upo hapa duniani na wala sio Kazi unafanya , Biashara n.k .


Ukiwa unatimiza Purpose yako kuna relief fulani utakuwa unaisikia kutoka ndani yako.

Mfano mtu Kama Nyerere alikuja katika dunia kuhakikisha anaipatia Tanzania Uhuru na alipomaliza hakuwa na mambo mengi Sana ya Ku-offer .
 
Wewe ni mmoja katika wale waliochanganyikwa kutokana na fikra za kimagharibi na yanayofanana na hayo.

Kwanza kabisa tambua kuna tofauti kati ya PURPOSE na TARGET. Purpose (Dhumuni) It refers to the reason or intention behind an action or goal while Target (Lengo) refers to a goal or an aim that one is striving to achieve. Pupose ya kuumbwa kwako huwezi kuipanga wewe (kama kweli unaamini umeumbwa) ila malengo ya maisha yako ndo unaweza kujipangia wewe mwenyewe. Wapo watu walikuwa wanasoma PCM wakijimbia wao wanatakiwa kuwa ma-engeneer, University wakaenda kusomea uhasibu, kwenye kazi wakaangukia kuwa sales people na katika maisha wakajikuta wamekuwa wakulima (sasa wanasema wametambua purpose ya kuumbwa kwao ni kulisha watu kupitia kilimo) ...

Purpose ya kuumbwa kwako aliiamua aliyekuumba sio wewe, acha kujipangia pangia mambo na kujidanganya eti hiyo ndo purpose ya wewe kuumbwa. U don't control anything katika ku-exist kwako (toka kuzaliwa, jinsia yako, ukuaji wako na hata kufa kwako) then unakuja hapa kujinadi eti unajua PURPOSE YA KUUMBWA kwako.

None sense kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…