What is your purpose in this life?

What is your purpose in this life?

My purpose huwa ni kuwa na furaha na kuona watu wa karibu wakipata furaha I'm enjoying the journey while striving to reach destination, my purpose in this world isn't merely to occupy space, but to make a change even if it is a smallest change!
See, it easy...thats it!
 
Kwa uandishii huu,huwezi kua hata raisi wa vichaa.

๐Ÿ˜€
29ADFA8C-546D-412C-95BA-630FBF8B1DB2.jpeg
 
Denzel washington kwenye movie yake 1 anasema siku mbili muhimu katika maisha yako ni siku ya kuzaliwa na siku utakayojua your purpose in life.
You got me, cheers ๐Ÿฅ‚
 
Wasalaam,


What is your purpose in this life?

Have you ever asked yourself why are you living? Ushawahi kukaa peke yako ukazungumza na nafsi yako kujua ni ipi sababu ya wewe kuishi?

Wale wa mlengo wa kidini watasema wapo kwa ajili ya kumtumikia bwana/Allah na neno lipate kutimia but is that all?

I mean, honest speaking siku ambayo utaondoka kwenye uso huu wa dunia utapenda watu waliokufahamu, familia yako n.k likitajwa jina lako wakukumbuke kwa lipi?

Bado najiuliza kuna watu especially (Adults) ambao they don't have a life's purpose (s)? I know maana halisi ya maisha na malengo ya kuishi yametofautiana kati ya mtu na mtu kutegemea where you come from, uwezo wako wa kufikiria na kupambanua mambo na matamanio yako katika maisha.

Nakumbuka on my mid 20's wakati vijana wenzangu wa mjini mabaro baro wakiwa wanapambana kupata a basic lifestyle ya vijana wengi wa mjini kama kupata a fine and handsomely paying jobs, good apartments, a raving beauty and stunning girlfriends na kuenjoy maisha kila weekends, kwangu ilikuwa tofauti sana, moja sikuwa naeleweka, pili hivyo vitu kwangu havikuwa vipaumbele, maombi ya kazi nilikuwa sitaki hata kuyasikia na niliwapiga mpaka mikwala jamaa zangu wasinitumie hata hizo job applications ๐Ÿ˜…, wazazi na watu wakaribu wakahisi labda nimerogwa
(nakumbuka nishasikia kwa masikio yangu zaidi ya mara moja wazee wakiongea) "au wamemfanyia mambo ya kiswahili kijana wetu "๐Ÿ˜‚,

Sikuwa na hofu wala wasiwasi sababu i had a clear picture of the things i needed in my life, and i knew exactly what it takes kufika ninapopataka na kuishi maisha ya ndoto zangu so sikuwa na pressure sana , it reached a moment it was a damn clear "jamaa kapoteza"
Vijana wenzangu (my close circle) tayari wakawa na familia (wake& watoto) ,mahusiano serious (uchumba), a well defined jobs,

wakati huo kwa upande wangu mambo yalikuwa tofauti kabisa ni kama vile tuseme kulia geuka watu wote wageuke kulia alafu peke yako ujikute umegeuka kushoto, now you know what i mean?

Ofcourse kibinadamu it doesn't feel good kuwa against everything lakini it was fine for me since i knew exactly what i wanted kwenye maisha yangu ni tofauti na wenzangu deep down ilikuwa inaniumiza hasa kwa upande wa familia nakumbuka nishawahi kumsikia mtoto wa my sister akisema waziwazi "nisome nigundue nini, wakati waliosoma kama uncle fulani maisha yao yenyewe hayaeleweki" ๐Ÿ˜จ that was too cold mf., yaani mimi ndio yule uncle asiyeeleweka kabisa kwenye familia,

kwanza i decided to stay a miles away from my home town ikawa kuonana na ndugu na familia ni mara mbili au moja kwa mwaka so hapo ndio wakawa hawanielewi kabisa, nikazidi kuwavuruga but personally nilikuwa kwenye kipindi muhimu cha mpito kufikia my life purpose, i gave myself a time, i was very patient, i stayed low as much as i could, and at the end of the day i earned my respect & appreciation and everyone came to understand ni nini nilikuwa nataka kwenye maisha yangu.

Well lengo ni kukukumbusha kuwa maisha unayoishi hayana maana yoyote kama hautakuwa na a purpose kwenye maisha yako, ukiwa na lengo lako kuu la kuishi au jambo unalopigania basi utaishi maisha kulipambania mpaka ulifikie na uliishi na utapolifikia basi hapo the whole meaning of your life utakuwa umeifikia, unless otherwise utakuwa unaishi ili mradi unakula na kushiba na kusubiri kufa tu.

What is your purpose in this life???

"Everything is possible for those who believe" lets meet at the top, cheers ๐Ÿฅ‚.

Mla bata

Mรผnchen, Deutschland ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช.
Wewe ni mmoja katika wale waliochanganyikwa kutokana na fikra za kimagharibi na yanayofanana na hayo.

Kwanza kabisa tambua kuna tofauti kati ya PURPOSE na TARGET. Purpose (Dhumuni) It refers to the reason or intention behind an action or goal while Target (Lengo) refers to a goal or an aim that one is striving to achieve. Pupose ya kuumbwa kwako huwezi kuipanga wewe (kama kweli unaamini umeumbwa) ila malengo ya maisha yako ndo unaweza kujipangia wewe mwenyewe. Wapo watu walikuwa wanasoma PCM wakijimbia wao wanatakiwa kuwa ma-engeneer, University wakaenda kusomea uhasibu, kwenye kazi wakaangukia kuwa sales people na katika maisha wakajikuta wamekuwa wakulima (sasa wanasema wametambua purpose ya kuumbwa kwao ni kulisha watu kupitia kilimo) ...

Purpose ya kuumbwa kwako aliiamua aliyekuumba sio wewe, acha kujipangia pangia mambo na kujidanganya eti hiyo ndo purpose ya wewe kuumbwa. U don't control anything katika ku-exist kwako (toka kuzaliwa, jinsia yako, ukuaji wako na hata kufa kwako) then unakuja hapa kujinadi eti unajua PURPOSE YA KUUMBWA kwako.

None sense kabisa.
 
Back
Top Bottom