What Kenya seeks to gain from China belt and road forum

Mtasema sana....janja yenu kwisha kujua. Maneno yenu yanakwisha....

Kama uchawi Kenya hakuna wachawi?

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
wapo ila sio kwa level yenu...waganga wanachomwa huku hasaa kule kisii....nyie mnawachinja albino na kuwala mkitegemea utajiri wa haraka....mnajulikana ulimwengu nzima mnavyowasaka na kuwakata kata viungo vya mwili....very sad! mnaamini sana ushirikina na Black magic...huwezi ukamwona mkenya anasumbuana na albino...yaani tz ni kama jehanamu kwa watu hawa...tofauti yenu na waarabu wa saudi arabia wanaochinjana vichwa ni nini?
Albino witchcraft victims mutilated for their body parts return home | Daily Mail Online
 
Do you have any statistical data to back up your claim?

Uchawi biashara za wajinga....ambao ni 80% using Pareto Rule...and that 80% don't have anything to do with driving the development Wheel. Hao ni followers wanatakiwa wasaidiwe.

By the way...Africa watu wengi, wakiwemo viongozi wakubwa, ni wafuasi wakubwa wa ulozi n.a. uchawi na takataka kama hizo....hata Kenya wapo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106]
 
wale wapo Kenya wote wametoka Tanga na Sumbawanga
 
Mtasema sana....janja yenu kwisha kujua. Maneno yenu yanakwisha....

Kama uchawi Kenya hakuna wachawi?

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Wawezakuwa na wachawi lakini duh.... Wala Albino. That will take pressing water out of a desert stone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…