Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
wapo ila sio kwa level yenu...waganga wanachomwa huku hasaa kule kisii....nyie mnawachinja albino na kuwala mkitegemea utajiri wa haraka....mnajulikana ulimwengu nzima mnavyowasaka na kuwakata kata viungo vya mwili....very sad! mnaamini sana ushirikina na Black magic...huwezi ukamwona mkenya anasumbuana na albino...yaani tz ni kama jehanamu kwa watu hawa...tofauti yenu na waarabu wa saudi arabia wanaochinjana vichwa ni nini?Mtasema sana....janja yenu kwisha kujua. Maneno yenu yanakwisha....
Kama uchawi Kenya hakuna wachawi?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Albino witchcraft victims mutilated for their body parts return home | Daily Mail Online