Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukapenda haka kanjemba tu ni risk.
Kukapenda haka kanjemba tu ni risk.
Ahahaha!.kweli.i also think that just by kuamini tu wampenda mtu ni risk tayari..na maisha haya!mh! back to the topic:risk kubwa na nyingi sana.
binafsi nimekubali kuwa na guy ambaye najua anamsichana wake mud mrefu na nimewapa uhuru wa kuonana popote pale wanapojisikia ilimradi jamaa aniambie ukweli tu, na ninafanya hivyo huku nikiwa sina tumaini la jamaa huyo kuwa wangu wa ndoa ama lah!........ wakati mwingine huwa najiona nimelogwa lakini nimerealise kuwa nafanya kwa jina la upendo wangu kwake....litakolotokea acha litokee tu....WEWE JE?
Costomer
hongera mkuu ..nina wivu wa mapenzi napenda kuwa selfish na wangu ..
Sintoweza kumpa ruhusa kama we uliotoa.
Hongera sana ..