What language do the Aliens speak?

au
unaongelea movie

Wewe jamaa ni wa hovyo sana....

Unaquote li mada lote hilo halafu unaandika kimstari kidogo tu,umequote post yote hiyo ya nini?

Si ungeamdika tu bila ku quote na ungeeleweka?
 
Wewe jamaa ni wa hovyo sana....

Unaquote li mada lote hilo halafu unaandika kimstari kidogo tu,umequote post yote hiyo ya nini?

Si ungeamdika tu bila ku quote na ungeeleweka?

Umeumia sehemu yoyote?
 
Use their language buddy....lol
 
former canadian defence minister 1963-1967 paul hellyer alisema viumbe hao wapo pamoja nasi ila serikali zinaifanya sirikali
 
Hivi viumbe bado havijaonekana live ni kusadikika tu hakuna anaejua kama vipo au lah...sababu kubwa ni kwamba hakuna physical evidence popote

mkuu ingia youtube kuna watu wameviona kwa cctv cameras LIVE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…