What made you end up cheating?

What made you end up cheating?

Na hakuna TUZO...
Alafu ndio nyie mkisalitiwa mnajiwuwa
😀😀😀🙌

Kwa hiyo kila jambo linahitaji TUZO? Hebu nifahamishe wewe unapata TUZO ipi unavyoshindia energy drinks?

Nikisalitiwa na nikajua napiga chini,natake time kuumia,namove on to another dick ...dicks zipo nyingi sana, kujiua is not an option kwangu
 
Dada achana na huyu jamaa

Ameshalogwa na single mother wake
🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo kila jambo linahitaji TUZO? Hebu nifahamishe wewe unapata TUZO ipi unavyoshindia energy drinks?

Nikisalitiwa na nikajua napiga chini,natake time kuumia,namove on to another dick ...dicks zipo nyingi sana, kujiua is not an option kwangu
Sijapenda kisema mi nashindia energy
.wakati nishaacha..
You personally are attacking me
 
Ila we jamaa bhana
Kwa hiyo wewe kuniambia mimi kutokuwa msaliti sipati tuzo sio personal attack?
Khaaa sasa we e unazani usipomsaliti mtu utapata nini labda....

Now tunaishi ulimwengu wa technology achana na mambo ya zamani zamani
 
Nimeacha kunywa energy mimi..
Mbona umekazia hapo kwenye energy kwani unaelewa nn kuhusu energy

Umeacha kuanzia leo sio? Manake hadi ijumaa usiku ulikuwa unagonga energy

Screenshot_20250126-135649_Samsung Internet.jpg
 
Ndio uone kuwa hawa kenge wanatuigizia sana. Yaani kibamia alafu unasikia bbby mbooooo yako tamu🤣🤣🤣🤣🤣 tangu lini kibamia kikawa kitamu
Fear women i tell u.
Si hivyo tu anamwambia baby shoo yako Kali punguza utaniumiza mwenzio unajua ck iz cjui unakunywa viagla yaan unanipa doz nzitooo mahi hahahahhaa
 
Back
Top Bottom