What Made You Stay?

MJ1 at least haya maneno ya mwisho yamenifanya nicheke maana huzuni niliyokuwa nayo acha tu
 

pole sana mwanajamii. Ngoja tujifunze kabla hatujaingia huko. Haya mambo yanatisha sana.
 
MJ1 at least haya maneno ya mwisho yamenifanya nicheke maana huzuni niliyokuwa nayo acha tu
Hahahhah usinambie umechekeshwa hapo nilipomshukuru Soulmate? hahha ni kweli he has a very strong Heart and Love lol. laiti ungeniona ninavyom'shikilia' kwa nguvu hahahah nakesha kwenye relationships websites hahahaha he is so special and yet a very simple person to fell in love again and again kwa kweli................LOL
 
inauma sana wanawake wengi wanapitia magumu ambayo hayaelezeki bahati mbaya hubadilisha maisha yao kabisa na sio lazima iwe kipigo
 
Hahaha! Sijui amejificha mitaa gani ila huwa anatokea kama vile risasi utamuona hapa anytime lol
 


Kaka mwambie huyo mume wa angela aje kwangu nimfundishe adabu!! mh! i wish that would be mine!!
 
natamani kuandika mengi halafu nashindwa ngumu vinaumiza sana pole sana Angel
 
Caro I love you bila gharama kwa kweli...................... tugee maujuzi jamani, tupe mbinu mpendwa.
 

nilimuulizaga bibi yangu kwa sasa ana miaka 90 mbona wakina babu wamekufa mapema hata hatukuwaona nikisema babu zetu namaanisha baba mzazi na baba wakubwa na wadogo wa baba yangu. jibu alilonipa nilishangaa alisema ni heri wafe mapema kwani kuishi kwao muda mrefu ni mateso kwa wengine na Mungu hapendi!
 
Mj1 najikuta nakupenda sana kwa ujasiri wako mkubwa..pole na Mungu amekubariki sana

Mimi rafiki yangu alikuwa abused sana kiasi kwamba aliamua kujiua na kuacha watoto wadogo 2

Ni story ya kusikitisha sana, na nyingine nikiweka hapa mnaweza kuijua, watu wanashauriwa 'kemea tu' 'sugua goti'

Ninavyofahamu Mungu ana makusudi na sisi ndio maana we are wonderfully and fearfully made, kama upo kwenye abusive relationship tafuta msaada haraka huku ukimwomba Mungu, Mungu atusaidie sote tujue kusoma alama za nyakati

May I take ths small opportunity to thank u hubby for being ths good to me, for loving me despite myself ...Mungu awabariki hizi post zimenitoa machozi, zimenifanya nirudi kusema thank u God for blessing me with this man I call my husband..

MJ1 pamoja sana, He will not let you be tempted beyond what u can't bear...Mungu yu mwema kwetu sote,ninakuombea na ninamshukuru Mungu kwajili yako.
 
natamani kuandika mengi halafu nashindwa ngumu vinaumiza sana pole sana Angel
Chauro.........dont say/write anything if you are not ready darling. Ujumbe umefika. I know you are among very strong women ambao mnajua nini maana ya ndoa na pia nini maana ya familia. I salute you.
 
Nsande, ninabarikiwa kwa kukugusa. Shika sana ulichobarikiwa wapo wanaotamani kuwa na hicho ambacho wewe kwa sasa unakiona hakifai.
Mimi nimepiga na ninaendelea kupiga magoti kumshukuru kwa miujiza inayoendelea kunitokea hah...........just half an hour nimepigiwa simu na Mama Mkwe ananisihi niendelee kuvumilia na kuomba MUNGU ambadilishe mwenzangu!!!! mitihani mingine bwana. !!!
 
Nsiande mshukuru Mungu kwa kila jambo
 
I wish kama tungepata wanawake wengine wenye udhubutu kama MwanajamiiOne.
 
MJ1 darling acha na hizi lager saiz nipo harusin post imenifanya namuangalia bibi harusi na maombi juu oops
Chauro.........dont say/write anything if you are not ready darling. Ujumbe umefika. I know you are among very strong women ambao mnajua nini maana ya ndoa na pia nini maana ya familia. I salute you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…