What Made You Stay?

What Made You Stay?

imekua ni tabia kwa wanawake wa kitz, na kiafrica kwa ujumla kufanya mambo kwa ajili ya kuridhisha watu! watoto ni visingizio tu! wapo wanawake kwenye ndoa ambao hawajajaaliwa watoto,wananyanyaswa na kutukanwa hadi na dnugu na marafiki wa wenza wao na wanavumilia tu! naomba tukatae hichi kisingizio cha 'kuvumilia kwa ajili ya watoto', kwani huyo abusive father akifa leo kwa malaria ina maana watoto nao watakufa ama kupoteza muelekeo? tumeona malalamiko mengi hapa,watu wanakwa kwenye useless relationships lakini wanasema wanashindwa kuachana manake moyo umengangania (sio kung'ang'ania atii).
Lakini kubwa niwashangae great thinkers wenzangu, ambao tunapoona mtu anasema anaamini kwenye divorce and the persuit of happyness (sio happiness,no!) tunaanza kusema wanawake wa siku hizi sijui hamtulii na the like. Tatizo letu ni kutaka kufurahisha watu. Hata huyo abuser wa anjela, pengine kuachwa na anjela kungemsaidia! if u lov something let it go,if it doesnt come back,its time to celebrate! it is never too late,lest we all forget this! The Finest, I am proud of u kwa kujitahidi kuwa hapo kwa ajili ya rafiki yako! Mpe pongezi zake Anjeal kwa kuweza kuruka kihunzi. Muambie maisha ni mafupi mno,aishi leo! atashangaa si ajabu huyo beast (sijui kiswahili chake,mbweha?) alikua anazuia baraka zake. sitoshangaa kumuona anafanikiwa kiuchumi kama roho yake ifanikiwavyo!
 
King'asti haya maisha haya acha tu dada wa watu akikuonyesha picha wakati ameolewa halafu umuone sasa hivi utalia na hasira juu maana mwili una makovu sasa najiuliza hivi kweli watu hatuna ubinadamu kwa wenza wetu kiasi hiki, namshukuru Mungu she can now start her life all over again, tunahitaji sana kumuomba Mungu kwa kweli inasikitisha sana
 
tatizo watu wanapenda kukimbilia kwenye ndoa bila kusomana inatakiwa watu mpitie hatua tati kabla ya ndoa
URAFIKI
UCHUMBA THEN
NDOA
maana kama mti ni rafiki yako hawezi kukuumiza hata kidogo mimi mume nimtakaye lazxima awe best yangu vibaya mno

Not that much simple bebii.... Je umesahau ule usemi kuwa 'kofi la mpenzi haliumi'? Ni usemi mfupi lakini ukitumia japo dk tano kuuwaza utajifunza mengi. Kifupi ni kuwa, ukishafikia steji ya kumuita mtu mpenzi (na mara nyingi hapa ndipo unapopata nafasi ya kujua mambo yake), hutaona uovu wake kamwe, unakuwa kama umelishwa limbwata. kila afanyalo unaliona jema, hata akikupiga unaona kama anakutania, watu wakikuasa unaona wanakuonea wivu. Ukishaingia kwenye ndoa ndipo unakuwa na akili ya kupambanua mema na mabaya, na 'kofi la mume/mke linauma le mbaya' lakini la mpenzi haliumi...
 
king'asti haya maisha haya acha tu dada wa watu akikuonyesha picha wakati ameolewa halafu umuone sasa hivi utalia na hasira juu maana mwili una makovu sasa najiuliza hivi kweli watu hatuna ubinadamu kwa wenza wetu kiasi hiki, namshukuru mungu she can now start her life all over again, tunahitaji sana kumuomba mungu kwa kweli inasikitisha sana
hv kwanini wanaume wana tabia za kupiga wake zao ? Tena kipigo cha mbwa mwizi?
 
not that much simple bebii.... Je umesahau ule usemi kuwa 'kofi la mpenzi haliumi'? Ni usemi mfupi lakini ukitumia japo dk tano kuuwaza utajifunza mengi. Kifupi ni kuwa, ukishafikia steji ya kumuita mtu mpenzi (na mara nyingi hapa ndipo unapopata nafasi ya kujua mambo yake), hutaona uovu wake kamwe, unakuwa kama umelishwa limbwata. Kila afanyalo unaliona jema, hata akikupiga unaona kama anakutania, watu wakikuasa unaona wanakuonea wivu. Ukishaingia kwenye ndoa ndipo unakuwa na akili ya kupambanua mema na mabaya, na 'kofi la mume/mke linauma le mbaya' lakini la mpenzi haliumi...
kwaiyo kuna wengine waananziwa vipondo kwenye mapenzi wanapuuza sio?
 
Lakini on the other hand tukubaliane kuwa kuna wanawake vichwa ngumu, wakorofi, wagomvi na wanaosababisha waume zao wawadunde, sio bebii?
 
Sana aisee. Ni ngumu kuchukia mpenzi kuliko kuchukia mme, mke.
basi maisha lazima yawe magumu mkuu hata waswahili walisema usipoziba ufa...... nadhani ni vema watu waangalie sio kila kitu cha kupuuza
 
Lakini on the other hand tukubaliane kuwa kuna wanawake vichwa ngumu, wakorofi, wagomvi na wanaosababisha waume zao wawadunde, sio bebii?
inategemea maana kuna wanaume nao sio ila wana nguvu inabidi uende nao kibabe sema kama huna nguvu ndo ivo inakula kwako mkuu
 
basi maisha lazima yawe magumu mkuu hata waswahili walisema usipoziba ufa...... nadhani ni vema watu waangalie sio kila kitu cha kupuuza

Ya... Ingawa tusiwalaumu wanaume all the time
 
inategemea maana kuna wanaume nao sio ila wana nguvu inabidi uende nao kibabe sema kama huna nguvu ndo ivo inakula kwako mkuu

Hahahaaa... Kwa hiyo ukiwa na nguvu kuliko mmeo utakuwa unamdunda akileta za kuleta?
 
Mhhh Bebii kuna watu ambao ni wembamba ila wanawadunda waume zao mbaya
sema wanaume wanapigwa sana sema hawasemi kuna wanaume hawana sauti kabisa ndani nadhani hata hicho ni kichapo pia sema ilo hamsemi
 
sema wanaume wanapigwa sana sema hawasemi kuna wanaume hawana sauti kabisa ndani nadhani hata hicho ni kichapo pia sema ilo hamsemi
Hizo ni siri za ndani
Huwezi kuja kutangaza kuwa jana nilibondwa na mama
Ni siri zetu ndani ya nyumba h
 
Inasikitisha sana haya manyanyaso yaliyomo kwenye ndoa inafikia hatua hadi wengine wanafikia kuuana tumuombe sana Mungu atuongoze kwenye hizi ndoa
 
domestic-violence.jpg

Hiki ni kisa cha kweli cha rafiki yangu ila jina la muhusika ndio nimelibadilisha. Naandika kwa masikitiko sana kwa jinsi hali aliyonayo sasa hivi inasikitisha sana nafikiria ila kichwani mwangu maswali ndio mengi kuliko majibu, najiuliza ni kwanini lakini??

Ukimuona Angela sio yeye ile hali ya uanamke haipo tena, nguo anazovaa yeye ni zile zinazofunika mwili kuanzia juu hadi chini. Angela is not confident anymore anaonekana kama vile ana miaka 40. Angela amekuwa kwenye abusive relationship kwa muda mrefu amekuwa akipigwa na mumewe mara kwa mara na kumfukuza nje ya nyumba kwa kuwa ana watoto na huyu mume Angela ilikuwa inambidi arudi kwa mumewe kumuomba msamaha hii yote alikuwa anafanya kwa ajili ya watoto wake, alikuwa anataka watoto wake wamalize shule kabla hajachukua uamuzi mwingine.

Mumewe alikuwa ameishajua udhaifu wake uko wapi na ndio akaamua kuwa anatumia nafasi hiyo kumdhalilisha, Angela naye aliendelea kuishi na hali hiyo akitegemea iko siku labda mambo yatabadilika, ila siku mambo yalipokuwa magumu ndipo aliamua kuchukua uamuzi wa kuondoka hii ni baada ya mumewe kumjeruhi kwa kisu na mpaka sasa Angela ana makovu ya visu mwilini, natamani laiti kama mngeweza kumuona jinsi alivyo sasa hivi inasikitisha sana swali nililomuuliza ni kuwa pamoja na haya yote kwanini aliendelea kukaa kwenye ndoa ya namna hiyo akanijibu ni kwasababu ya watoto.

Nashindwa kueleza mambo mengine zaidi sababu ni ya aibu na ya kusikitisha sana mwanaume ambaye umezaa naye watoto leo hii anakuuliza "Kama wewe ni mwanamke kweli basi nionyeshe huo uanamke wako uko sehemu gani"? hivi sielewi.

NB: Mume wake ameishafikishwa kwenye vyombo vya kisheria kwa kosa la kumjeruhi

Najua ni wengi sana wako katika hali kama hii lakini hawasemi kwa kuhofia wakiacha ndoa zao jamii itawaelewa vibaya, ni kitu gani kinachokufanya uendelee kukaa kwenye ndoa ya namna hiyo????

finest

in every relationship there are abusive experiences... physical and emotional and all are inevitable as we have different backgrounds....

However, this one is too much and unacceptable... and the lady should ahve left looong time ago... my few coins tell that you dont have to wait until your are permanently debilitated to look out

thanks
 
Kumpiga mwanamke ni dalili ya weakness ya mwanaume akificha madhambi yake ndani ya ngozi ya jamii na tamaduni potofu...

Kwa sababu sitegemei kumdhalilisha mwanamke yeyote, Namuonea huruma sana jamaa atakayekuja kuoa binti yangu.. kwani akianza kujionyesha yeye ni kidume kwa kumpiga mwenzake na kumtoa makovu. Mimi kama baba nitaanza kutubu kabisa dhambi zangu kabla hata sijazitenda kwani nadhani baada ya kumsulubu huyo jamaa kuna uwezekano wa kuishia Segerea au kutorudi kabisa uraiani. Ninakerwa sana na wanaume feki wenye tabia kama hizi..

Kupiga wanawake ni tabia ya kipuuzi na ni ubabe wa nguvu ya soda..ni dalili za woga na inferiority complex..
 
Back
Top Bottom