King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
imekua ni tabia kwa wanawake wa kitz, na kiafrica kwa ujumla kufanya mambo kwa ajili ya kuridhisha watu! watoto ni visingizio tu! wapo wanawake kwenye ndoa ambao hawajajaaliwa watoto,wananyanyaswa na kutukanwa hadi na dnugu na marafiki wa wenza wao na wanavumilia tu! naomba tukatae hichi kisingizio cha 'kuvumilia kwa ajili ya watoto', kwani huyo abusive father akifa leo kwa malaria ina maana watoto nao watakufa ama kupoteza muelekeo? tumeona malalamiko mengi hapa,watu wanakwa kwenye useless relationships lakini wanasema wanashindwa kuachana manake moyo umengangania (sio kung'ang'ania atii).
Lakini kubwa niwashangae great thinkers wenzangu, ambao tunapoona mtu anasema anaamini kwenye divorce and the persuit of happyness (sio happiness,no!) tunaanza kusema wanawake wa siku hizi sijui hamtulii na the like. Tatizo letu ni kutaka kufurahisha watu. Hata huyo abuser wa anjela, pengine kuachwa na anjela kungemsaidia! if u lov something let it go,if it doesnt come back,its time to celebrate! it is never too late,lest we all forget this! The Finest, I am proud of u kwa kujitahidi kuwa hapo kwa ajili ya rafiki yako! Mpe pongezi zake Anjeal kwa kuweza kuruka kihunzi. Muambie maisha ni mafupi mno,aishi leo! atashangaa si ajabu huyo beast (sijui kiswahili chake,mbweha?) alikua anazuia baraka zake. sitoshangaa kumuona anafanikiwa kiuchumi kama roho yake ifanikiwavyo!