DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kwa wachina ni wachovu tukilinganisha na watanzania ?ahaa haaa
😛🤣🙂🙃
Hujaeleweka bro,
Ungesema USA, UK, Continental Euro Countries, Scandcountries, Saudia, Japan and the like wametapakaa duniani tungeelewana, lakini wewe unataja wachovu ambao nao wanajikwamua kutoka kwenye dhiki.... hapo hutaeleweka.
Ok. Hata wajerumani wametapakaaa. Mfano hai Huku nilipo shambani tupo na wajerumani kama 20 tunapiga nao shughuli za kilimo.