ahaa haaa
ππ€£ππ
Hujaeleweka bro,
Ungesema USA, UK, Continental Euro Countries, Scandcountries, Saudia, Japan and the like wametapakaa duniani tungeelewana, lakini wewe unataja wachovu ambao nao wanajikwamua kutoka kwenye dhiki.... hapo hutaeleweka.