Jiunge na makapuku,kule kuna likes za kumwaga.
Hii inadhihirishwa na wanaoongoza kwa likes humu (list) wengi wao ni makapuku.
bora mungemjibu kwa lugha aliyotumiaunataka likes nyingi upate nini? acha ulimbukeni wenzako wanaomba ushauri namna ya kupata pesa wewe unaomba mbinu kupata likes.
Tanzania ya Vi wonder on fleek [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1,Should I write about politics?
-Base on leading party?
-Base on opposional paties?
2, Should I write about relationship and sex affairs?
- Looking for the ckicks, some body's wife?
-Exposing spouse secreties?
- Showing that I'm left by some one?
3, Should I write about entertainment and sports?
-Cross cutting issues in the sphere?
NB
What I need from you is just a way and not otherwise coz I know pigheaded will turn up and reacting negatively!!
Please stop being an harphazard respond accordinly and if nothing to respont keep quite!.
Makonda oyeeee
Notable kama yupi, nakupa sample kidogo. @Assadssyria
swissme wanapata LIKES Nyingi na wanaonekana majinis na wanaojitambua, wasiotumikia tumbo kuliko Mzee Mwanakijiji au Waberoya. Jiulize ni kwanini ?
teh teh mbona weye umenipatiaa..Unawabeep na hiyo oyeeee hawatakupa hata ka like kamoja... lol
Sorry, sikuwa na nia mbayaEeh; ni kwamba unajisikia vizuri sana ukilitaja jina langu au ni kuwa huwezi kujizuia kunifikiria?
Matusi ya nini ww ass!!?Na wewe mwenyewe umeandika ili upate likes si ndio hupati ng'oo pumbaav
Usishangae it is true!Thibitisha haya mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Showing that I'm left by some one...??
Ama kweli malkia wa Uingereza ulituachia donda Ndugu, twafwaaa.
Jibu hili hapa,mimi sitaki kuzungumzia hilo mkuu.Mkuu Nifah hivi mbona maana ya neno kapuku ambayo Mimi nilikuwa nikiijua toka miaka kenda naona iko tofauti kabisa na maana ya kapuku ya wana JF.??
Maana ya neno kapuku niliyokuwa nikiijua ni kuwa kapuku ni mtu masikini wa kutupwa, yaani mtu asiye na kitu kabisa...kitu ambacho ni tofauti na wana JF ambao wengi mnaonekana kuwa njema kifikra mpaka kiuchumi.
Ufafanuzi Tafadhali juu ya maana ya neno kapuku.
Vuguvugu la likes lilianzia kwa jamaa mmoja Rais wa makapuku Avatar yake alikuwa tembo anacheza amevaa mlegezo.
Jamaa Kuna siku alilalamika akaanzisha uzi eti mods wanamwibia likes zake anazitaka. Baadae kidogo analalamika wakongwe wanajuana na kupeana like wakati wageni hata wakisema au kuandika point hazichangiwi. Akaanzisha vuguvugu la makapuku watu wasio maarufu JF, kama utani baada ya Muda kuja kukuona na wadau wake sijui waliambiana nini hao ghafla wakafunika likes hadi leo hawakamatiki. Kabla ya hao jamaa likes zilikuwa ni kwa watu wanaoandika mambo ya msingi, washauri wazuri, watu wa kuburudisha, watu wa siasa wasioogopa kukosoa na aliyekuwa kinara alikuwa mshana Jr.
Jibu hili hapa,mimi sitaki kuzungumzia hilo mkuu.
Naogopa lawama.