vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99
i nid my husband to be romantic what should i do,nimejaribu kwa vitendo naona mwenzangu ka haelewi...hata tunapokuwa faragha inaonekana ka mwenzangu anaona aibu...kusema i lov its like mwaka mzima sijasikia...hata ukimuuliza unanipenda utasikia eeh...ndo mana niko na wewe mi sipendi hivyo nifanyeje hamna jarida nikampe asome...yani sielewi sio siri inaninyima raha...although smtimes anaonyesha anajali lkn sio km vile mtu anvyotakiwa afany kwa mpenz wake.....plzzzzz na mi nampenda sana my husband...

lakini viikeiss 2006 jaribu kidogo kuangalia na upande wako,...MAY BE YOU ARE TOO DEMANDINGi nid my husband to be romantic what should i do,nimejaribu kwa vitendo naona mwenzangu ka haelewi...hata tunapokuwa faragha inaonekana ka mwenzangu anaona aibu...kusema i lov its like mwaka mzima sijasikia...hata ukimuuliza unanipenda utasikia eeh...ndo mana niko na wewe mi sipendi hivyo nifanyeje hamna jarida nikampe asome...yani sielewi sio siri inaninyima raha...although smtimes anaonyesha anajali lkn sio km vile mtu anvyotakiwa afany kwa mpenz wake.....plzzzzz na mi nampenda sana my husband...
lakini viikeiss 2006 jaribu kidogo kuangalia na upande wako,...MAY BE YOU ARE TOO DEMANDING
unachukua mapwenti lakini BIYA unakunywa pekeako......Too demanding.....hapo ngoja nipafanyie kazi.
unachukua mapwenti lakini BIYA unakunywa pekeako......
ok ok....Hahahaha...mabiya na maembe mabichi tunagawana....sisi ni dugu moya.
Hebu nambie anademand sana nini? Baioloji au?
tafuta player nje ya ulingo,what you miss from your husband the player will provide
labda umtafute asiye na mijasho na midevu....siwezi kufanya hivi plz....sio rahisi kam unavyofikiria kuanza kunusa jasho na kuzoea midevu na harufu y amwanaume mwingine...
ok ok....
kwenye malovee kunakuwa na shida sana iwapo one of you (mostly,a woman) akiwa too DEMANDING(hii ni kama nature ya selfishness).wakat mwingine unakuta mwanamama anataka timizio la hitaji lake ''instantly'' na kwa kiwango anachokiota.
the question of vikeis2006 kusema kwamba mumewe hayuko ''ROMANTIC'' hala at the same thread anasema '' although smtimes anaonyesha anajali lkn sio km vile mtu anvyotakiwa afany kwa mpenz wake.'' ina utata mkubwa sana kwa sisi tunaosoma katikati ya mistari.vikess2006 anatakiwa ajiangalie na yeye huenda ana ''udhaif'' au tatizo lake.
ANGALIZO:don't quote me,haya ni mawazo finyu ya ''mfalme wa amani''
labda umtafute asiye na mijasho na midevu....
How old is he?
How old are you?
Kwanza tuanzie hapo
sikiliza we dogo,Hapa bold unazungumzia demand ya mahela siyo?
Anyway Vikeiss thread yake naona haijakaa njema, afu bahati mbaya amerusha thread na kuondoka. Nadhani atakuwa mwalimu, amewahi darasani.
he is 35 and am 26 going
lakini viikeiss 2006 jaribu kidogo kuangalia na upande wako,...MAY BE YOU ARE TOO DEMANDING