what should i do..........

what should i do..........

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
i nid my husband to be romantic what should i do,nimejaribu kwa vitendo naona mwenzangu ka haelewi...hata tunapokuwa faragha inaonekana ka mwenzangu anaona aibu...kusema i lov its like mwaka mzima sijasikia...hata ukimuuliza unanipenda utasikia eeh...ndo mana niko na wewe mi sipendi hivyo nifanyeje hamna jarida nikampe asome...yani sielewi sio siri inaninyima raha...although smtimes anaonyesha anajali lkn sio km vile mtu anvyotakiwa afany kwa mpenz wake.....plzzzzz na mi nampenda sana my husband...
 
tafuta player nje ya ulingo,what you miss from your husband the player will provide
 
Pole sana,binadamu tunatofautiana,shukuru Mungu hata una mume na unakiri kwa kiasi fulani anakujali.
Kuna vitu huwezi mfanya mwanaume abadilike hadi aamue mwenyewe kubadilika ndo kama hilo,some men are naturally not romantic ila ndani ya mioyo yao wana mapenzi ya kweli....kama kuna heshima,upendo,uwajibikaji,na anakujali,hilo lisiwe tatizo kubwa.Mpende for who he is not who you want him to be.Hakuna perfect,kila mmoja wetu ana mapungufu yake ambayo ukishayaelewa unatulia na kwenda nae taratibu,akibadilika poa asiponadilika pia sawa.Take it easy my dear!
 
ahahahahahahahahahahahahahahahah!
NIMEPITA TU HAPA

samahani kwa kucheka ndugu,

kuna kitu nimekumbuka
 
tok to him mwambie unataka nn akufanye/akufanyie pia kama unaweza mweleze hata stlye,type za mamboz unayotaka akupe akufanyie,kumbuka he is all urs no mata akiwa nje au ndani usiposema shaulilo atafunzwa na kufundisha kirudi kwako atakuona bado uko chekechea while ulijua hukutaka kumfundisha au kumuelewesha!tok tok tok action speak beta zan vojarida etc
 
i nid my husband to be romantic what should i do,nimejaribu kwa vitendo naona mwenzangu ka haelewi...hata tunapokuwa faragha inaonekana ka mwenzangu anaona aibu...kusema i lov its like mwaka mzima sijasikia...hata ukimuuliza unanipenda utasikia eeh...ndo mana niko na wewe mi sipendi hivyo nifanyeje hamna jarida nikampe asome...yani sielewi sio siri inaninyima raha...although smtimes anaonyesha anajali lkn sio km vile mtu anvyotakiwa afany kwa mpenz wake.....plzzzzz na mi nampenda sana my husband...

How old is he?
How old are you?

Kwanza tuanzie hapo
 
Hapa ndipo tunapomhitaji mwanajamiiwani!
 
lakini viikeiss 2006 jaribu kidogo kuangalia na upande wako,...MAY BE YOU ARE TOO DEMANDING
 
unachukua mapwenti lakini BIYA unakunywa pekeako......

Hahahaha...mabiya na maembe mabichi tunagawana....sisi ni dugu moya.

Hebu nambie anademand sana nini? Baioloji au?
 
ok ok....

kwenye malovee kunakuwa na shida sana iwapo one of you (mostly,a woman) akiwa too DEMANDING(hii ni kama nature ya selfishness).wakat mwingine unakuta mwanamama anataka timizio la hitaji lake ''instantly'' na kwa kiwango anachokiota.

the question of vikeis2006 kusema kwamba mumewe hayuko ''ROMANTIC'' hala at the same thread anasema '' although smtimes anaonyesha anajali lkn sio km vile mtu anvyotakiwa afany kwa mpenz wake.'' ina utata mkubwa sana kwa sisi tunaosoma katikati ya mistari.vikess2006 anatakiwa ajiangalie na yeye huenda ana ''udhaif'' au tatizo lake.

ANGALIZO:don't quote me,haya ni mawazo finyu ya ''mfalme wa amani''
 
tafuta player nje ya ulingo,what you miss from your husband the player will provide

siwezi kufanya hivi plz....sio rahisi kam unavyofikiria kuanza kunusa jasho na kuzoea midevu na harufu y amwanaume mwingine...
 
labda umtafute asiye na mijasho na midevu....
 
ok ok....

kwenye malovee kunakuwa na shida sana iwapo one of you (mostly,a woman) akiwa too DEMANDING(hii ni kama nature ya selfishness).wakat mwingine unakuta mwanamama anataka timizio la hitaji lake ''instantly'' na kwa kiwango anachokiota.

the question of vikeis2006 kusema kwamba mumewe hayuko ''ROMANTIC'' hala at the same thread anasema '' although smtimes anaonyesha anajali lkn sio km vile mtu anvyotakiwa afany kwa mpenz wake.'' ina utata mkubwa sana kwa sisi tunaosoma katikati ya mistari.vikess2006 anatakiwa ajiangalie na yeye huenda ana ''udhaif'' au tatizo lake.

ANGALIZO:don't quote me,haya ni mawazo finyu ya ''mfalme wa amani''

Hapa bold unazungumzia demand ya mahela siyo?

Anyway Vikeiss thread yake naona haijakaa njema, afu bahati mbaya amerusha thread na kuondoka. Nadhani atakuwa mwalimu, amewahi darasani.
 
sikiliza we dogo,
hitaji si lazima liwe hela,again VIKEISS KARUDI na tunae hapa
 
lakini viikeiss 2006 jaribu kidogo kuangalia na upande wako,...MAY BE YOU ARE TOO DEMANDING

labda unasema kweli ila sijui....mi sioni kam yuko sawa.....habembelezi..hata...
 
Back
Top Bottom