What should I do?

Usitafute watu wengi tafuta watu sahihi mm ninawasiliana na kujuana na watu kibao ila tunaopeana michongo na deals angalau mkono uende kinywani ni wachache alafu wa kawaida sana hawa wengine wanabaki kuwa watu kwenye maisha ila huwezi sema unamuomba akupe hata deal la kupata 50k tu kinachobaki wao wakiona umefanya kitu wanabaki kuita ah tajiri ah jamaa umeyapatia hizi kauli sizipendi basi tu.
 
Tatizo linaanzia hapa;

 
Unatafuta kazi gani?
Weka qualification zako hapa, then wenye msaada watajitokeza kukusaidia.

Kuwa na watu wengi kwa circle sio guarantee watakusaidia au watakua na msaada kwako.
Believe in yourself first and everything will fall into place.
 
Ms eyes
Kwa kifupi huna faida katika jamii.
Narudia, watu wengi wenye marafiki wengi ni watu wenye faida, msaada.

Imeandikwa: mwenye nacho ataongezewa.
Hii kanuni ni ya kweli.
Ukiwa na pesa...utaongezewa heshima na watu kujikomba yaani wanakutafuta wenyewe.

Wewe ni rafiki mzuri pia utaongezewa marafiki kibao.

Je? Wewe una kitu gani cha ziada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…