What should I do?

What should I do?

Kwanza tambua na kubali kwamba wewe ni introvert.
Pili, jaribu kutafuta watu wa karibu na sio marafiki kama unavyo fikiri.
Marafiki unaweza ukawanao hata 1,000 na wote wasiwe marafiki wa faida katika maisha yako, na kwatabia za watu wa aina yako yawezekana marafiki wengi wasio na faida kwako ndio watakuongezea shida na makasiriko zaidi.
You better find close a friend for your inner cycle, because they will be always there for you babe...[emoji4]
Yaani namaanisha kwamba.....
Nibora uwe na watu wako wa karibu ambao ni sahihi hata watano (5) ambao watakua tayari kusimama na wewe wakati wote, kuliko kua na marafiki 100 wasio na faida kwako.
Okay.......
Kua na marafiku wengi haikupi uhakika wa kutengeneza network kubwa.
Ushauri bora sana huu.
 
Pole sana mkuu
Naona una upweke pia
DM me please tuunge undugu

Kuhusu connection inategemea na sekta uliyopo

Mimi ni mjasiliamali (startup) so nipo na mzunguko wa watu wa Aina hiyo, innovator s and the likes ndo watu nilionao Sasa Kama nawe unawataka njoo ntaku connect nao

Pole aysee
 
Kwanza tambua na kubali kwamba wewe ni introvert.
Pili, jaribu kutafuta watu wa karibu na sio marafiki kama unavyo fikiri.
Marafiki unaweza ukawanao hata 1,000 na wote wasiwe marafiki wa faida katika maisha yako, na kwatabia za watu wa aina yako yawezekana marafiki wengi wasio na faida kwako ndio watakuongezea shida na makasiriko zaidi.
You better find a closer friend for your inner cycle, because they will be always there for you babe...😊
Yaani namaanisha kwamba.....
Nibora uwe na watu wako wa karibu ambao ni sahihi hata watano (5) ambao watakua tayari kusimama na wewe wakati wote, kuliko kua na marafiki 100 wasio na faida kwako.
Okay.......
Kua na marafiku wengi haikupi uhakika wa kutengeneza network kubwa.
Thanks for this. Nakumbuka kuna siku ulishawahi ni describe aisee ulipatia vyote😅😍
 
Pole sana mkuu
Naona una upweke pia
DM me please tuunge undugu

Kuhusu connection inategemea na sekta uliyopo

Mimi ni mjasiliamali (startup) so nipo na mzunguko wa watu wa Aina hiyo, innovator s and the likes ndo watu nilionao Sasa Kama nawe unawataka njoo ntaku connect nao

Pole aysee
Asante kipenzi
 
Ni kama hawapo,, uchague kuchepukiwa kwa heshima na wengi tuko hapo au kama roho ndogo achana na mapenzi kabisa yani jitoe, ila kumpata mwanaume wa kiafrika anaetokea Tanzania wako peke yako😂😂 hata kamari ina uhakika wa kupata
Mimi nina roho ndogo😂, heshima ndio kitu nahitaji pia ila ukishafahamu hamna heshima hapo.
 
Ni kama hawapo,, uchague kuchepukiwa kwa heshima na wengi tuko hapo au kama roho ndogo achana na mapenzi kabisa yani jitoe, ila kumpata mwanaume wa kiafrika anaetokea Tanzania wako peke yako😂😂 hata kamari ina uhakika wa kupata
kila mtu anamrushia mpira mwenzake.... me, ke wote tuko hovyo tu
 
Back
Top Bottom