Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahhah kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani...sidhani kama anahitaji simu za aina hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhah kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani...sidhani kama anahitaji simu za aina hiyo
Ebu ngoja niangalieJuzi
Kumbe! Kama ni kavulana Achana nako kanatafuta K ya dezo!Achana naye huyo mkuu hizo drama sizipendi hata nishavuka uko
Ushauri bora sana huu.Kwanza tambua na kubali kwamba wewe ni introvert.
Pili, jaribu kutafuta watu wa karibu na sio marafiki kama unavyo fikiri.
Marafiki unaweza ukawanao hata 1,000 na wote wasiwe marafiki wa faida katika maisha yako, na kwatabia za watu wa aina yako yawezekana marafiki wengi wasio na faida kwako ndio watakuongezea shida na makasiriko zaidi.
You better find close a friend for your inner cycle, because they will be always there for you babe...[emoji4]
Yaani namaanisha kwamba.....
Nibora uwe na watu wako wa karibu ambao ni sahihi hata watano (5) ambao watakua tayari kusimama na wewe wakati wote, kuliko kua na marafiki 100 wasio na faida kwako.
Okay.......
Kua na marafiku wengi haikupi uhakika wa kutengeneza network kubwa.
Thanks for this. Nakumbuka kuna siku ulishawahi ni describe aisee ulipatia vyote😅😍Kwanza tambua na kubali kwamba wewe ni introvert.
Pili, jaribu kutafuta watu wa karibu na sio marafiki kama unavyo fikiri.
Marafiki unaweza ukawanao hata 1,000 na wote wasiwe marafiki wa faida katika maisha yako, na kwatabia za watu wa aina yako yawezekana marafiki wengi wasio na faida kwako ndio watakuongezea shida na makasiriko zaidi.
You better find a closer friend for your inner cycle, because they will be always there for you babe...😊
Yaani namaanisha kwamba.....
Nibora uwe na watu wako wa karibu ambao ni sahihi hata watano (5) ambao watakua tayari kusimama na wewe wakati wote, kuliko kua na marafiki 100 wasio na faida kwako.
Okay.......
Kua na marafiku wengi haikupi uhakika wa kutengeneza network kubwa.
Asante kipenziPole sana mkuu
Naona una upweke pia
DM me please tuunge undugu
Kuhusu connection inategemea na sekta uliyopo
Mimi ni mjasiliamali (startup) so nipo na mzunguko wa watu wa Aina hiyo, innovator s and the likes ndo watu nilionao Sasa Kama nawe unawataka njoo ntaku connect nao
Pole aysee
Pia Sasa hivi hatuhitaji marafiki tunahitaji watu wa Aina mbili tuAsante kipenzi
Ni kama hawapo,, uchague kuchepukiwa kwa heshima na wengi tuko hapo au kama roho ndogo achana na mapenzi kabisa yani jitoe, ila kumpata mwanaume wa kiafrika anaetokea Tanzania wako peke yako😂😂 hata kamari ina uhakika wa kupataAsante babe, wanaume waaminifu wamepotea kabisa.
Mimi nina roho ndogo😂, heshima ndio kitu nahitaji pia ila ukishafahamu hamna heshima hapo.Ni kama hawapo,, uchague kuchepukiwa kwa heshima na wengi tuko hapo au kama roho ndogo achana na mapenzi kabisa yani jitoe, ila kumpata mwanaume wa kiafrika anaetokea Tanzania wako peke yako😂😂 hata kamari ina uhakika wa kupata
Karibu mwali, marachache nikiwaga sijalewa hua nabaki na akili zangu zote....🤣Thanks for this. Nakumbuka kuna siku ulishawahi ni describe aisee ulipatia vyote😅😍
😂😂😂Uko very innocent ulitakiwa uzaliwe huko mambele huku utuachie sieMimi nina roho ndogo😂, heshima ndio kitu nahitaji pia ila ukishafahamu hamna heshima hapo.
Napenda hivooo.Mimi ni aina ya wale watu ambao napata shida ku interact na watu, ni ngumu sana kumzoea mtu, siwezi kukaa kwenye mkusanyiko wa watu wengi. Mara nyingi huwa nipo ndani haswa kama sina shughuli ya kufanya kwa siku hiyo au wakati huo
kila mtu anamrushia mpira mwenzake.... me, ke wote tuko hovyo tuNi kama hawapo,, uchague kuchepukiwa kwa heshima na wengi tuko hapo au kama roho ndogo achana na mapenzi kabisa yani jitoe, ila kumpata mwanaume wa kiafrika anaetokea Tanzania wako peke yako😂😂 hata kamari ina uhakika wa kupata