Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
yeye anasema ni zamani sijui 2010 atasema ni before christ 😂Jamani si juzi tu hapo🤣🤣🤣
Muone 🤣🤣🤣yeye anasema ni zamani sijui 2010 atasema ni before christ 😂
Namna gani pale mkuu 🤣🤣kwa sauti ile hata mimi ningekupigia kila leo
namna hiyo hiyo 😅😅Namna gani pale mkuu 🤣🤣
nimefanyaje mtu wa zamani ya 2019Muone 🤣🤣🤣
😂😂😂 kaushaanimefanyaje mtu wa zamani ya 2019
Acha utani anyway we can be friendz from now on wards, ni cheki Kwa dm if u are realHellow Guys!
Hope mnaendelea vizuri.
It’s “Ms Eyes” again.
Sorry naombeni ushauri ni kwa namna gani naweza kuongeza idadi ya watu as you all know dunia ya sasa hivi bila connections ni ngumu sana kutoboa na hizo connection huwa zinatoka kwa watu. Can you all imagine sina hata watu 90 kwenye mzunguko wangu wa maisha.
Mimi ni aina ya wale watu ambao napata shida ku interact na watu, ni ngumu sana kumzoea mtu, siwezi kukaa kwenye mkusanyiko wa watu wengi. Mara nyingi huwa nipo ndani haswa kama sina shughuli ya kufanya kwa siku hiyo au wakati huo.
Napata shida sana haswa kwa kipindi hichi ambacho nahitaji kazi, nilijaribu kufanya biashara ya kukopesha lakini sikuiweza kwasababu huwa sipendi kuongea na kugombana na watu, hata hivyo nilikuwa napata wakati mgumu kwasababu sikuwa na watu wengi wa kuwatembezea bidhaa zangu.
Marafiki ndio kabisa sina, napitia changamoto nyingi sana sina hata mtu wa kuongea nae au wa kunipa mawazo tofauti ili niweze kuwa sawa kwa kiasi fulani. Simu yangu inaweza isipigwe kwa muda hata wa siku tano[emoji23][emoji174].
NIKO HAPA KUPOKEA USHAURI WENU WAKUU. Ningependa kupewa majibu positive ili nisiendelee kuvunjika moyo though kuna watu wapo watanijibu negative.
HAPPY ENDING WEEKEND Y’ALL.[emoji7]
Karibuni!
sikaushi adi utume voizi noti😂😂😂 kaushaa
We manzi utakuja kunitoa Roho😂😂Watu 90?? Mbona wengi sana
Kama unao 50 kwenye maisha yako wanatosha sana...hata hivyo kujuana sana sio issue wala nini,kwanza unajiepusha na mengi
Kuhusu kutopigiwa nayo mbona fresh tu...wewe huwa unawapigia lakini?
Dah jibu kavu Sana hili🤔🤣😂😂We Binafsi unafikiri kufanyaje Ili kusolve hili tatizo?
I can be your friendHellow Guys!
Hope mnaendelea vizuri.
It’s “Ms Eyes” again.
Sorry naombeni ushauri ni kwa namna gani naweza kuongeza idadi ya watu as you all know dunia ya sasa hivi bila connections ni ngumu sana kutoboa na hizo connection huwa zinatoka kwa watu. Can you all imagine sina hata watu 90 kwenye mzunguko wangu wa maisha.
Mimi ni aina ya wale watu ambao napata shida ku interact na watu, ni ngumu sana kumzoea mtu, siwezi kukaa kwenye mkusanyiko wa watu wengi. Mara nyingi huwa nipo ndani haswa kama sina shughuli ya kufanya kwa siku hiyo au wakati huo.
Napata shida sana haswa kwa kipindi hichi ambacho nahitaji kazi, nilijaribu kufanya biashara ya kukopesha lakini sikuiweza kwasababu huwa sipendi kuongea na kugombana na watu, hata hivyo nilikuwa napata wakati mgumu kwasababu sikuwa na watu wengi wa kuwatembezea bidhaa zangu.
Marafiki ndio kabisa sina, napitia changamoto nyingi sana sina hata mtu wa kuongea nae au wa kunipa mawazo tofauti ili niweze kuwa sawa kwa kiasi fulani. Simu yangu inaweza isipigwe kwa muda hata wa siku tano[emoji23][emoji174].
NIKO HAPA KUPOKEA USHAURI WENU WAKUU. Ningependa kupewa majibu positive ili nisiendelee kuvunjika moyo though kuna watu wapo watanijibu negative.
HAPPY ENDING WEEKEND Y’ALL.[emoji7]
Karibuni!
🤒🤒🤒🤒Thank you☺️
Update googale chrome, itakubali mchumbaa🤒 Ms eyesPm yangu inasumbua leo, inaandika connecting . Ningejibu😊😂
0744883353 Whatsapp onlyThank you[emoji3526]
sijui kwanini nacheka😂0744883353 Whatsapp only
Lala bwanasijui kwanini nacheka😂