Back in 2018,2019,2020 huko
Nilikuwa naringa 🤣🤣
Najikuta siwezi jimix na watu 😂😂
Najiona miss indoor
Nilikuwa napata watu/ marafiki nashindwa kuwakeep
2021. Nikaanza kutoka kwenye ile zone, nikaacha kuwa categorize watu, kunata kukaniisha. nina hakika miaka niliyokuwa nayo 2020 ndiyo anayo Miss macho now. Akatae
Aiii now nina watu
Ambao hata nisipowapigia wao watanipigia
Siwezi kaa siku nzima sijapigiwa
Na kuna wale wanaweza jileta wawe friends
Kumbe wanakuja kukujua mimacho ni nani
Uwe makini 🤣🤣🤣
Ms eyes