What story dont you like to hear from Men?

Heeeee kwa hiyo ulikuwa una note kwa pembeni?
 
Sipendi mwanaume anayefanya mapenzi huku yuko kimya anaguna tu mhhh mhhhh, hata aongei maneno ya mahaba
sipendi mwanaume anayekiss huku katoa liulimi nje utadhani chatu
 
Waaaohhh, here we go again....the list goes on.....Please tell us, we listen you

Sasa ndio naamini kile kitabu cha mchungaji Masa kwenye hili thread
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-wanaume-tu-i-fainally-got-2.html#post1957532
 
Heeeee kwa hiyo ulikuwa una note kwa pembeni?

Si unajua tena mama haya mambo, we acha tu......magumu kuliko kutafuta Credit za Ndalichako (NECTA) form Four ukiwa Private Candidate.....hahahaaaa

Sipendi mwanaume anayefanya mapenzi huku yuko kimya anaguna tu mhhh mhhhh, hata aongei maneno ya mahaba
sipendi mwanaume anayekiss huku katoa liulimi nje utadhani chatu

Hahaaaaaa, aisee BB hapa umeniacha mbavu mbovu....dah, we ngoja kuna jamaa humu anaitwa ChatuDume aje hapa lol!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…