What story dont you like to hear from Men?

duh......................nilikuwa sijui..............
 
Sweet K, naogopa kusema yalo moyoni maana nitapigwa BAN!...En ways acha kujibalaguza na uniambie maneno gani mabaya unayo ongea wakati wadada hatupo ???

Sijibalaguzi babes ila sinaga utamaduni wa kusema watu behind their backs....
 
Naomba soma kitabu kiitwacho "how to win friends and influential peoples" cha Dale Carnegie. Utanielewa. Pole kwa usumbufu.
mbongo akasome kitabu!!?? sio kwamba hawezi, ila muda huo sidhani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sipendi neno "ukwap" kila nikipokea simu
 
mmmh haya we kweli mapenzi yana run dunia
Mi napenda kumskikia akinisifia nimependeza,ninampikia chakula kizuri,mm mzuri (naamini hakuna mwanamke mbaya),anapenda nikimnyoshea nguo zake,anapenda navyonukia,anapenda mechi zetu za mchangani lol:A S-baby::A S-baby::A S-baby::bange::bange::bange:

SIPENDI MWANAMME ANIITE"WE MWANAMKE"
sipendi mwanamme mchafu(harufu ya jasho,zo kunajasho lile linanukia vizuri but kuna hili lingine hili mmmh)
Sipendi mwanamme mlevi kupindukia(awe mnywaji kiasi)
Sipendi mwanamme asofanya kazi ajishughulishe japo mkono uende kinywani,(japo baba arudi hme na kipande cha samaki)
Sipendi mwanamme anopenda maisha ya kucopy na kupaste eti coz rafiki yake yuko hivi na ss(mm na yy tuwe hivyo)
Sipendi mwanamme MMBEA
sipendi mwanamme mwenye dharau hasa kwa wanawake
Sipendi mwanamme asomsaidia mkewe hata kuangalia homework za watoto
Sipendi mwanamme aniombe TIGO agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr(huyu shetani simtaki kabisaaaaaaaaaaaaaa)

NTARUDI BADAE NA SIPENDI!

kwa nini uwe na mwanaume anayetamani tigo?
 
Sasa FF unamaanisha unapenda mwanaume mwenye kitu tunaita "inferiority complex?" au ninakupata vibaya hapa

Maana najua kujikubali ni sehemu ya muhimu kwa mwanaume (niseme kwa mwanadamu) hasa kama alichofanya na kinachomfanya kujisifia ni sahihi...sijui kama sijakupata vema mwaya Foxy.....

Mkubwa hata kama mwanamme anafanya mambo makubwa... kujisifia ni weakness!!! Real men don't blow their own trumpets!!!
 
hivi ukimwangalia barabarani mwanaume utajua huyu ni mtumiaji wa Tigo na huyu sio?
siamewshakuwa mpenzi wako kabla hamjaanza kushiriki ngono humsomii tabia zake?
au mtu unachukulika na mwanaume ni mwanaume?
 
Mkubwa hata kama mwanamme anafanya mambo makubwa... kujisifia ni weakness!!! Real men don't blow their own trumpets!!!

I got you right broda....but we TELL vile ambavyo tumejitutumua kama wanaume mahali fulani na kuonesha how strong we are.....kibaya ni pale ambapo unakuwa na kazi ya KUJISIFIA KULIKOPITILIZA ndipo inapoharibu utamu...

You know what i mean here? Women likes men who are "TOUGH BUT TENDER" and telling the success so far is part of letting them know that my man is TOUGH.........Kanuni inabaki palepale, TOO MUCH IS HARMFUL and the WAY YOU PRESENT CAN DISTORT THE MEANING......Hii ni shule nyingine tena
 
Hii ni summary fupi ya yale ambayo mpaka sasa wakinadada na wakina mama ndani ya JF wanasema hawapendi kuona au kusikia kutoka kwa waume au ma-bf wao........here we go

1. Sipendi kuulizwa 'upo na nani'
2. Sipendi neno "ukwap" kila nikipokea simu
3. sipendi wanaume wanaotafuNa tafuna ovyoo
4. Sipendi wanaume wanaotukana ovyo (kwenye gari,daladala,bar etc)
5. Sipendi jamaume lizima linamuita mtoto mdogo mchumba
6. Sipendi wanaume yuko na mwanamke,dadake,mamake,kwenye gari mijicho yooote nje anaangalia mwanamke mwingine
7. Sipendi papaaaaa!-----Pearl atafafanua zaidi hapa
8. Sipendi mwanaumekutwa kuchwa mihasira tu isiyo na msingi au ukali kupitiliza
9. Sipendi mwanaume mwenye tambi kuuuubwa,kitambi kiwe japo kidogo cha kishkaji,sio kile cha mimba yangu na tambi lake mmmmh tofauti zero
10. Sipendi mwanaume asiekubali kushaurika na kukubali mapungufu yake.
11. Sipendi apige mastory ya x gf. Discussion juu ya EX zake au wake.........iwe mbaya iwe nzuri (What has been burried should remain where it is) The meaning is that you are still in your ex-
12. Sipendi mwanaume/mwanamke anaetupa uchafu barabarani
13. Sipendi mwanaume kutwa anashinda bar
14. Sipendi mwanaume Bar watu wanajichana hme watoto full dagaa tembele daily
15. Sipendi mwanaume mwenye kujisifia
16. sipendi mwanaume anayeongea kama cherehani ………….tobaaaa
17. Sipendi mwanaume ambaye maongezi mengi ni kudharau wanawake
18. Sipendi mwanaume anayekonyeza konyeza ovyo utadhani anaumwa macho – kama taa ya Indicator ya gari…….hahahaaaa
19. sipendi mwanaume anayenuka mdomo ..hapendi kupiga mswaki
20. Sipendi mwanaume anayenuka kikwapa
21. Sipendi mwanaume mvivu
22. ipendi mwanaume anyelalamika ovyo badala ya ku-fight
23. Sipendi mwanaume kila ukikutana nae yeye ni matatizo tu hana hata siku moja ya furaha
24. mi sipendi mwanaume mwenye stori za kujisifia au mwanaume mwenye masifa,
25. napenda mwanaume mwenye kujua majukumu yake kwangu
26. ila asinichunge
27. sipendi kusikia mwanaume anajisifia anajua game halafu mkikutana kazi kupakana majasho na kuhemeana hana lolote la ziada……mhh, this next level
28. SIPENDI MWANAMME ANIITE"WE MWANAMKE"
29. sipendi mwanamme mchafu(harufu ya jasho,zo kunajasho lile linanukia vizuri but kuna hili lingine hili mmmh)
30. Sipendi mwanamme mlevi kupindukia(awe mnywaji kiasi)
31. Sipendi mwanamme asofanya kazi ajishughulishe japo mkono uende kinywani,(japo baba arudi hme na kipande cha samaki)
32. Sipendi mwanamme anopenda maisha ya kucopy na kupaste eti coz rafiki yake yuko hivi na ss(mm na yy tuwe hivyo)
33. Sipendi mwanamme MMBEA
34. kujifisifia kulikopitiliza! its real boring..
35. sipendi mwanamme mwenye dharau hasa kwa wanawake
36. Sipendi mwanamme asomsaidia mkewe hata kuangalia homework za watoto
37. Sipendi mwanamme aniombe TIGO agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr(huyu shetani simtaki kabisaaaaaaaaaaaaaa)
38. Sipendi mwanaume asienisifia
39. Nakereka naposikia mwanamme akijisifu: Mimi hivi, mimi vile, mie nilifanya hiki, mie ntafanya kile, mie nimeagiza Prado jipya, mie naenda huku, mie..., mie..., mie... Mwanamme namna hiyo huwa ananchafuwa roho.
40. . Sipendi naneno au themes zinazohusiana na wanawake zikiwa na lengo za kukejeli, dhihaki, dharau uwezo na uwelewa wa mwanamke... Hii statement ya akili ya wanawake bwana!....
 
Duh!!!!
 
SIPENDI JAMAN TENA SIPENDI hii utakuta umekosa then mwanaume anakulinganisha na mtu mwingine mfano..unakua mjinga kama flani au kwanini usiwe kama fulani , ungekua na macho mazuri kama yule ingekua poa aiseee hii ni MBAYA

SIPENDI tena kuwasifia watu wengine afu anajifanya kukupoza ila nakupenda wewe mfano kuna wanawake wazuri wengi sana tena wananitaka basi tuu nipo hapa kwa ajili yako coz i love you and so mamny many rubbish

SIPENDI HII pia kuwalinganisha dada/mama na ndugu wake wengine na mpenzi wake yaan hii pia inaboa sana....
 
Back
Top Bottom