What Tanzania's COVID-19 vaccine reluctance means for its citizens and the world

What Tanzania's COVID-19 vaccine reluctance means for its citizens and the world

Dunia itamuondoa Bwana yule kwenye hicho kiti.Wakubwa wa hii dunia hawawezi mvumilia.
they have more pernicious headaches to grapple with than changing the regime in Dodoma over vaccine distribution...

Head honchos in Tehran, Pyong Yang, Kremlin, Riyadh, Damascus... those bulldogs give them more grief than Magufuli ever could...

So we are good and grooving, nobody in the world is talking about regime change in Tanzania
 
Kabisa Mkuu, mtu mmoja anatuamulia Watanzania 60 millions bila hata ya kuwashirikisha wataalamu wa mambo ya afya kama vile madaktari. Mbona chanjo nyingine Watanzania tumezitumia kwa miaka chungu nzima bila matatizo yoyote!?
Kwani wewe umekatazwa kudungwa hiyo chanjo?
 
Wakifanya hivyo kwa kweli itakuwa ni baraka kubwa kwa Dunia.

Mara ya kwanza aliposema mwenyewe kuwa ni kichaa, niliona kama joke, ila sasa nimeamini, huyu bwana siyo mzima. Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kujidunga yeye kinga halafu akabakia kufurahia vifo vya watu wake.
Tataizo lako unekabidhi akili kwa watu wawaze kwa ajili yako!

Mbona Lisu aliposema andamana umtoe huyo kichaa ukijificha uvunguni mwa kitanda?
 
Machapisho meeengi yakuleta hofu tu, lakini Hadi muda huu Corona inaelekea kibra kwani wengi wa Watanzania wameshaugua na kupona, hivyo kufanya kinga zao kuwa imara zaidi na kuyashinda haya maradhi
Unaambiwa kuugua Corona nakupona haikupi kinga ya milele bali ni miezi kadhaa,unaweza ukaikwaa tena.
 
Soma tu upite halafu kakojoe ulale. Huna ubongo wa kuhimili mjadala huu. Kukujibu ni kukupa umaarufu
Huna jibu ndio maana!

Mimi nmekuulizwa swali dogo tu unataka Magufuli akufanyie nini ili ujikinge na corona usife?
 
Some Reading to do:






https://www.amazon.com/The-Virus-Vaccine-Contaminated-Government/dp/0312342721/

https://www.amazon.com/Vaccine-Concerned-Families-Practitioners-Edition/dp/188121737X
 
Uko ulimwengu gani leo tu mzee mwandosya ameadmit babaake mdogo kaondoka na UVIKO
Mwandosa ana umli gani na babaye ndogo uyo alikuwa na umli gani?mtu ata akifa kwa uzee tiyari corona?amejuaje kuwa ni corona wakati wanasema serikali haipimi corona?
 
Back
Top Bottom