Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Unapesa? Usisahau kulipa tips?.Pay for the food Kama wewe mwanaume,Relax usivae suruali ya njano,pink na Mkanda mweupe au Viatu vyeupe.Usijiongelee oh Mie Mie Mie .Usiende na kicheche usafiri Halafu relax .wabongo mnamchezo wakupaka cologne Mpaka its irritating .Loose weight wanaume wanene wanatia kichefuchefu pleaseee.Turn off your cellular phone .Relax enjoy ,Hamna kumchungulia Kama ana ------ hiyo ni dalili ya umalaya.Unalo hilo
KAMA WEWE ni mdada MWANAUME PESA.Angalia saa aliyovaa Kama ni ROLEX amaa gari lake LEXUS ,BENTLEY ,Mercedes au.Tip ameacha baada ya mlo ,PESA (msichana kuolewa na Mtu Mwenye uwezo bibi wanaume maskini wanaleta umaskini zaidi Kwenye family tafuta Ng'ombe aliyenona )Mtu yoyote asikudanganye Pesa sabuni ya roho .Mwanaume Pesa.Mwanaume akikuuzi unamchukua debit card shopping .Sio kakuuzi umeme Hamna achana nao
Kweli nimeamini mwanamke akiwezeshwa, anaweza.