What To Do On First Date...!!!??

What To Do On First Date...!!!??

Unapesa? Usisahau kulipa tips?.Pay for the food Kama wewe mwanaume,Relax usivae suruali ya njano,pink na Mkanda mweupe au Viatu vyeupe.Usijiongelee oh Mie Mie Mie .Usiende na kicheche usafiri Halafu relax .wabongo mnamchezo wakupaka cologne Mpaka its irritating .Loose weight wanaume wanene wanatia kichefuchefu pleaseee.Turn off your cellular phone .Relax enjoy ,Hamna kumchungulia Kama ana ------ hiyo ni dalili ya umalaya.Unalo hilo
KAMA WEWE ni mdada MWANAUME PESA.Angalia saa aliyovaa Kama ni ROLEX amaa gari lake LEXUS ,BENTLEY ,Mercedes au.Tip ameacha baada ya mlo ,PESA (msichana kuolewa na Mtu Mwenye uwezo bibi wanaume maskini wanaleta umaskini zaidi Kwenye family tafuta Ng'ombe aliyenona )Mtu yoyote asikudanganye Pesa sabuni ya roho .Mwanaume Pesa.Mwanaume akikuuzi unamchukua debit card shopping .Sio kakuuzi umeme Hamna achana nao

Kweli nimeamini mwanamke akiwezeshwa, anaweza.
 
hahaha this things what I know hakuna formula kbsaa what matters mtu kakuzimikia kiasi gani. mimi nakumbuka nilidate nae for 3month hivi na tulikuwa tunatoka every 3 to 4 days in a week.One day akaniambia anaomba niende kwake kuna kitu ataniambia nikaenda but with mixed fillings ofcz. aliniambia tu anataka kuona my body nikiwa naked ofcz then basi, I was shocked but alisimamia maneno yake.

Inapendeza sana mdada akimwambia mkaka kwamba anataka kuona body jamaa akiwa naked, then basi,
 
Regards wakuu MMU,
there comes a time ambapo baada ya kuzunguka huku na kule finally unajikuta moyo wako umetua kwa mtu mmoja ambaye umetokea kumpenda kwa dhati and God willingly unawish one day mtu huyo aweze kuja kua life time partner. Mi naomba kuuliza, kwa serious first time date, ni tips gani unaweza ukampa mtu? like dressing code, the place to take her, kind of food, what to talk about, manners, and how to convince her just on first date lakini mpaka akaelewa kwamba uko serious na unachofanya na you are there to stay. is it necessary to order expensive whine/ champagne ? assuming kwamba i know nothing about dates, please share with me some of the tips which can make my date be something spectacular and fun hata ye mwenyewe aweze kuenjoy that moment.
Regards,
Don Lucchese.

Sikiliza mdogo wangu.....about the conversation part (How to talk to women and get things kickin).
Here are a few tips i use which may be helpful to you.

  • Spend 60% - 70% of the conversation during the date by listening to her and don't control the conversation by talking too much (listen carefully what she says and ask her simple questions and that way you get to know what she likes and things that are of great interest to her, then you talk about what she likes or interested in.) Controlling the convesation 100% unaweza mfanya akaboreka na story zako zisizo za msingi/maana kwake.
  • Spend 30% - 40% telling her about yourself. Specifically telling her about yourself in a way that makes the two of you seem very familiar. First get to know what she likes by listening what she says and find a way of bonding it with you (through telling her about yourself) this makies the two of you seem familiar. Part ya ucheshi utachomekea humo humo kwenye maongezi naamini huwez shindwa kumchekesha mwanamke.

Trust me mpaka mnaagana akifika nyumbani kwake hawez acha kukuwaza.....she will be considering a possibility of giving you a chance into her life cz ataona kama uta match nae kwa mambo mengi.
Kazi kwako & Goodluck.
 
It differs from one person to another depending on the type of your date. Wengine siku ya kwanza tu anaweza kukuruhusu kugegeda, sikakuzimia banaaa!!
 
I find all these are dramas,sijui kama nishawahi kuwa na first date au last date all I know nipo katka relationship na am enjoying it maana it happened nkakutana na stranger I met JF took him home he had a drink and bites,chatted a lot baada ya hapo kila mtu kaenda na ratiba zake,second date nka I invited him lunch,etc akani invite kwake,we have so many lunches na breakfasts kama tupo free but hatujawahi panga ati leo ni first date au last,let's live maisha ya kibongo bwana sio ya kimovie movie,
Don't complicate things just kama u want take her dinner then mwambie twaenda dinner ila sio hadi maneno nayo watafuta sisi tukutengenezee memorandum ya kikao
Go have fun ongea vitu vya entertaining n don't act what yur not those dramas won't take yu anywhere ila waweza pata kibuti akijua ukweli
 
Mtazame usoni kisha muulize bila kupepesa macho kama yuko singo au dabo!

Hehehe umenifanya nikumbuke mabibo enzi hizo shemeji ake shoga angu alinizoea ila akawa anashindwa ataanzaje hiyo siku kanipigia nkwamwambia niko rum kaja mwenyewe hadi blok B anahema mikono haijatulia vile namwambia karibu ukae nashangaa sentensi inamtoka "una boyfriend?"Nilijikaza kucheka coz nilishamsoma. Nkamwambia "eeeh nnae "maskini huyooo akaondoka hata hakukaaa. Hii mambo hata ufanye mazoezi ukimuona mhusika vina evaporate ati
 
daah kweli nimegain alot of intels hapa, thou mkuu Swts inaelekea bila kibati (ndinga) swala langu litakua gumu kama kuiona nchi ya ahadi. Basi ngoja nijaze jaze kibubu!
 
Last edited by a moderator:
FIRST mnaongea pamoja what to do for fun.

THEN SIKU IKIFIKA
MFATE ALIPO AMA MTAKAPOMEET,MHUG JUS FRIENDLY HUG!

MVUTIE KITI AKAE,

*DONT TALK ABOUT SEX.*

DRESS CASUAL SMART...

EAT WHAT U CAN AND BEHAVE,JUS BE GENTLE..

MAKE SURE MNAONDOKA MNACHEKA KWA FURAHA..!

ASK FOR A SECOND DATE.

MSINDIKIZE HADI KWAKE,MFUNGULIE MLANGO WA GARI,HAKIKISHA AMEINGIA NDANI.

UKIFIKA MCALL ANAENDELEAJE..THEN KAMA KUNA KITU MLIPIGA STORY MKACHEKA,MKUMBUSHE MCHEKE WOTE.

USIMTEXT KILA SAA KILA SAA ATAONA UMESHOBOKA, JIPE MUDA NAWE..POZI FLANI KWA MBAALI..ILA SIO SANA.. LOL
i love youuuuuuu
 
Hayo mambo ya first date sijui nini, ni kwa watoto wa Kishua huko Masaki, Obey. watoto wa uswazi ukimpeleka kwa Mpemba pale Ilala akagonga chips vumbi mchezo umeisha. usisahau kunywa supu ya pweza.
ha ha ha jamani sikupanga kucheka leo khaaaa point taken!!!!
 
mimi nakupa my real experience
nilii ibuaga mtoto mzuri sema mtoto wa kiswazi
nikampeleka steers....taxi na kadhalika...
guess what nilimboa hadi baasi..
hakutaka kuniona tena....hakuwa comfortable kabisa na mimi tena

my point ni hii first mjue mtu wa aina gani
ikiwezekana suggest first uone atasemaje

mpeleke sehemu ambayo wewe uko familiar nayo..
isiwe expensive na wala isiwe pa ovyo..
kawaida hivi.....halafu piga story za kawaida
usizungumze kuhusu kumuoa wala ku sex..

zungumza tu about events nzuri za kawaida
labda Psquare na nyimbo zao..

au movie stars...za hollywood au nigeria au bongo...

halafu basi mkiachana mpe space
muache aku miss....

You have nailed it mdogo wangu..
 
daah kweli nimegain alot of intels hapa, thou mkuu Swts inaelekea bila kibati (ndinga) swala langu litakua gumu kama kuiona nchi ya ahadi. Basi ngoja nijaze jaze kibubu!

noo mydear..kama huna basi na adha za usafiri muhakikishie usalama wake mpenzi... Usilazimishe mambo..khaa
 
Last edited by a moderator:
n'toe festi deti unifungulie milango ya bajaji mwee
mweeh ntakutoa mwaya ila usiniletee zile zenu za ooh siku zangu mara next wik ni moja kwa zote natoa offer unafungua mlango wa bajaji
 
=> Haya yote ni kwa MASKINI TU.....

=> TAJIRI....yy siku hiyo hiyo anapiga hadi KABANG....na mwanamke anamsifia....first date kwa mwenye PESA anapiga mzigo kama kawa....

=> Maskini uta date hadi 100 appointments....utacheka
cheka....utatoa jokes...utajifanya gentleman....mara mtu wa dini...mara unaongea kwa mapozi.....HUTAELEWEKA WW MWANAUME.......PESA NDIO KILA
KITU.....UKIWA NA PESAAA....OOHHH.....utashangaa demu ndio ANAKUTONGOZAA.....amini usiamini...

=> HIYO NDIO FACT....!!!



FIRST mnaongea pamoja what to do for fun.

THEN SIKU IKIFIKA
MFATE ALIPO AMA MTAKAPOMEET,MHUG JUS FRIENDLY HUG!

MVUTIE KITI AKAE,

*DONT TALK ABOUT SEX.*

DRESS CASUAL SMART...

EAT WHAT U CAN AND BEHAVE,JUS BE GENTLE..

MAKE SURE MNAONDOKA MNACHEKA KWA FURAHA..!

ASK FOR A SECOND DATE.

MSINDIKIZE HADI KWAKE,MFUNGULIE MLANGO WA GARI,HAKIKISHA AMEINGIA NDANI.

UKIFIKA MCALL ANAENDELEAJE..THEN KAMA KUNA KITU MLIPIGA STORY MKACHEKA,MKUMBUSHE MCHEKE WOTE.

USIMTEXT KILA SAA KILA SAA ATAONA UMESHOBOKA, JIPE MUDA NAWE..POZI FLANI KWA MBAALI..ILA SIO SANA.. LOL
 
=> Haya yote ni kwa MASKINI TU.....

=> TAJIRI....yy siku hiyo hiyo anapiga hadi KABANG....na mwanamke anamsifia....first date kwa mwenye PESA anapiga mzigo kama kawa....

=> Maskini uta date hadi 100 appointments....utacheka
cheka....utatoa jokes...utajifanya gentleman....mara mtu wa dini...mara unaongea kwa mapozi.....HUTAELEWEKA WW MWANAUME.......PESA NDIO KILA
KITU.....UKIWA NA PESAAA....OOHHH.....utashangaa demu ndio ANAKUTONGOZAA.....amini usiamini...

=> HIYO NDIO FACT....!!!

oh yeah kwa mtazamo wako!
 
teh ivi bajaj haina mlango ehh??hahhaha bas mkitumia usipande adi amepanda,,,hata daladala hatakama mnaingilia dirishani... Mtaftie nafasi hata ya kusimama!!! Hahahahah ila me hiyo yani hata hun'toi!
Pamoja na yote but come'on usiwe local sana...yes keep it natural but not too low bana...
Ukijionesha ukobroke sana aisee utakuwa unakimbia!
Reality ya maisha mkubali mkatae.... ''No woman wants to date a severely broke guy!'' teh msinimeze hayo ni maoni yangu!
Ila ofcoz inategemea na mtu na mtu. Mkiconnect mioyo kila kitu poa!
Ze boss we ushawahi kuchuniwa after first date??experience pls.ilikuwejekueje


Mie nimewahi kuchuniana na mtu after first date
yeye alikuwa so mashauzi na mimi so humble
so kuchuniana ilikuja tu naturally ...
 
=> Haya yote ni kwa MASKINI TU.....

=> TAJIRI....yy siku hiyo hiyo anapiga hadi KABANG....na mwanamke anamsifia....first date kwa mwenye PESA anapiga mzigo kama kawa....

=> Maskini uta date hadi 100 appointments....utacheka
cheka....utatoa jokes...utajifanya gentleman....mara mtu wa dini...mara unaongea kwa mapozi.....HUTAELEWEKA WW MWANAUME.......PESA NDIO KILA
KITU.....UKIWA NA PESAAA....OOHHH.....utashangaa demu ndio ANAKUTONGOZAA.....amini usiamini...

=> HIYO NDIO FACT....!!!

Hehe kweli bwana
 
Back
Top Bottom