Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo ya first date sijui nini, ni kwa watoto wa Kishua huko Masaki, Obey. watoto wa uswazi ukimpeleka kwa Mpemba pale Ilala akagonga chips vumbi mchezo umeisha. usisahau kunywa supu ya pweza.
hahaha u watch that program too?
FIRST mnaongea pamoja what to do for fun.
THEN SIKU IKIFIKA
MFATE ALIPO AMA MTAKAPOMEET,MHUG JUS FRIENDLY HUG!
MVUTIE KITI AKAE,
*DONT TALK ABOUT SEX.*
DRESS CASUAL SMART...
EAT WHAT U CAN AND BEHAVE,JUS BE GENTLE..
MAKE SURE MNAONDOKA MNACHEKA KWA FURAHA..!
ASK FOR A SECOND DATE.
MSINDIKIZE HADI KWAKE,MFUNGULIE MLANGO WA GARI,HAKIKISHA AMEINGIA NDANI.
UKIFIKA MCALL ANAENDELEAJE..THEN KAMA KUNA KITU MLIPIGA STORY MKACHEKA,MKUMBUSHE MCHEKE WOTE.
USIMTEXT KILA SAA KILA SAA ATAONA UMESHOBOKA, JIPE MUDA NAWE..POZI FLANI KWA MBAALI..ILA SIO SANA.. LOL
da maelezo yako inabidi niwe na gari tayari??? kama sina gari it means no date au?
da maelezo yako inabidi niwe na gari tayari??? kama sina gari it means no date au?
hapana hata Taxi.
Regards wakuu MMU,
there comes a time ambapo baada ya kuzunguka huku na kule finally unajikuta moyo wako umetua kwa mtu mmoja ambaye umetokea kumpenda kwa dhati and God willingly unawish one day mtu huyo aweze kuja kua life time partner. Mi naomba kuuliza, kwa serious first time date, ni tips gani unaweza ukampa mtu? like dressing code, the place to take her, kind of food, what to talk about, manners, and how to convince her just on first date lakini mpaka akaelewa kwamba uko serious na unachofanya na you are there to stay. is it necessary to order expensive whine/ champagne ? assuming kwamba i know nothing about dates, please share with me some of the tips which can make my date be something spectacular and fun hata ye mwenyewe aweze kuenjoy that moment.
Regards,
Don Lucchese.
jamani ntampata wapi wa kunifanyia hayo yote?mimi nakupa my real experience
nilii ibuaga mtoto mzuri sema mtoto wa kiswazi
nikampeleka steers....taxi na kadhalika...
guess what nilimboa hadi baasi..
hakutaka kuniona tena....hakuwa comfortable kabisa na mimi tena
my point ni hii first mjue mtu wa aina gani
ikiwezekana suggest first uone atasemaje
mpeleke sehemu ambayo wewe uko familiar nayo..
isiwe expensive na wala isiwe pa ovyo..
kawaida hivi.....halafu piga story za kawaida
usizungumze kuhusu kumuoa wala ku sex..
zungumza tu about events nzuri za kawaida
labda Psquare na nyimbo zao..
au movie stars...za hollywood au nigeria au bongo...
halafu basi mkiachana mpe space
muache aku miss....
jamani ntampata wapi wa kunifanyia hayo yote?
Usionyeshe ufahari kwake. Iwapo unataka kukandamiza tu na kumwacha mpeleke high clasic areas na kama unataka kuoa usimwonyeshe ufahari mpeleke sehemu za kawaida na do not try to show her how classic u're. Jaribu kumsoma ili ubaini ni wa namna gani huyo future wife. UANZAVYO NI LAZIMA UVIENDELEZE. Hakikisha ukimpeleleka high places,kumfungulia mlango wa gari,vutia kiti na pia kumjali sana,uhakikishe hutobadilika tena mara atakapokuwa mwenzi wako. Siku zote picha atakayo pata siku ya kwanza atadumu nayo kwenye ubongo wake maisha yake yote na itakuwa ndio reference iwapo utaacha kutenda yale uliyomwonyesha siku ya kwanza.
hahaha this things what I know hakuna formula kbsaa what matters mtu kakuzimikia kiasi gani. mimi nakumbuka nilidate nae for 3month hivi na tulikuwa tunatoka every 3 to 4 days in a week.One day akaniambia anaomba niende kwake kuna kitu ataniambia nikaenda but with mixed fillings ofcz. aliniambia tu anataka kuona my body nikiwa naked ofcz then basi, I was shocked but alisimamia maneno yake.mkaribishe alale kwako. akikubali ujue hapo hakuna kitu!
hahaha this things what I know hakuna formula kbsaa what matters mtu kakuzimikia kiasi gani. mimi nakumbuka nilidate nae for 3month hivi na tulikuwa tunatoka every 3 to 4 days in a week.One day akaniambia anaomba niende kwake kuna kitu ataniambia nikaenda but with mixed fillings ofcz. aliniambia tu anataka kuona my body nikiwa naked ofcz then basi, I was shocked but alisimamia maneno yake.mkaribishe alale kwako. akikubali ujue hapo hakuna kitu!
na kama pesa ya taxi sina siwezi date u?
nafikiria ask you a date..
bajaj unapanda?