stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Sura na mwili au uzuri wa macho pekee yake kwa wengi huwa havitoshi. Binafsi, I'm especially turned off by bad breath, and strong odors during sex from females due to poor personal hygiene.
Bora kuwa pamoja na demu mwenye tabia nzuri ya usafi wa mwili, lakini asiyekuwa na mvuto mkubwa sana kimacho kuliko kuwa na demu bomba lakini asiyejijali kiusafi. How about you?
Labda kama sijakupata vizuri,umesema you are turned off by bad breath and strong odors during sex due to poor personal hygenie,hivi inawezekanaje mwanamke akajua leo ni siku ya shughuli halafu asioge,asipige mswaki au asisafishe sehemu zake zote ambazo anajuwa kuwa zina toa harufu kali!huyu lazima atakuwa hayuko perfect hasa kiakili,ila kuna yule ambaye ameoga,amepiga mswaki,kajisafisha sehemu zake zote za mwili plus lotions,perfumes and deodorants ila tu during sex yaani unapokuwa tayari umeshaanza yale mambo yetu harufu inatokea kule maeneo,sasa huyu naye tunamsaidaje/kumuweka kundi gani kwani ile harufu kuna wanaume wanaoipenda tena sana tu na kuna wanaoichukia kiasi cha kumuita huyo mwanamke ni mchafu taking into consideration that it differs from one woman to another,sasa ningeomba ufafanue hapa hiyo bad breath inayotokana na poor personal hygenie unayozungumzia wewe ni ipi?