What turns you off?

What turns you off?

Sura na mwili au uzuri wa macho pekee yake kwa wengi huwa havitoshi. Binafsi, I'm especially turned off by bad breath, and strong odors during sex from females due to poor personal hygiene.

Bora kuwa pamoja na demu mwenye tabia nzuri ya usafi wa mwili, lakini asiyekuwa na mvuto mkubwa sana kimacho kuliko kuwa na demu bomba lakini asiyejijali kiusafi. How about you?

Labda kama sijakupata vizuri,umesema you are turned off by bad breath and strong odors during sex due to poor personal hygenie,hivi inawezekanaje mwanamke akajua leo ni siku ya shughuli halafu asioge,asipige mswaki au asisafishe sehemu zake zote ambazo anajuwa kuwa zina toa harufu kali!huyu lazima atakuwa hayuko perfect hasa kiakili,ila kuna yule ambaye ameoga,amepiga mswaki,kajisafisha sehemu zake zote za mwili plus lotions,perfumes and deodorants ila tu during sex yaani unapokuwa tayari umeshaanza yale mambo yetu harufu inatokea kule maeneo,sasa huyu naye tunamsaidaje/kumuweka kundi gani kwani ile harufu kuna wanaume wanaoipenda tena sana tu na kuna wanaoichukia kiasi cha kumuita huyo mwanamke ni mchafu taking into consideration that it differs from one woman to another,sasa ningeomba ufafanue hapa hiyo bad breath inayotokana na poor personal hygenie unayozungumzia wewe ni ipi?
 
uchafu,
harufu mbaya,
au midevu isiyo na mpangilio maana si kika mwanaume anapendeza akifuga midevu
minywele ya kwapa au kunako, unakuta mwanaume ana minywele kama anataka kufuga rasta
kuwa rough kunako, as if anakimbizwa na simba.....
Mengine nitaendelea kuyataja baadae.....
 
Bad Breath and smell katika sehemu zake....that turn off my me
 
inaonyesha harufu mbaya kila mtu hazipendi.kuna harufu nyengine ni ugonjwa.kuna ugonjwa unaitwa fish odour,ni ugonjwa mbaya huo,hata uoge,utanuka tu.mimi sipendi harufu ya jasho,kunuka soksi hasa kwa wanaume,kunuka mdomo,hata kissing itashindikana,na mtu akiwa mbea.
 
Nimechunguza na kuona kuwa wanawake wanaojichubuwa (mkorogo) wana harufu mbaya sana ambayo hata wakijaribu kuificha kwa manukato ndio inazidi kuchafuwa hali ya hewa kabisa, na hii hata ukikaa nao karibu tu, najiuliza chumbani inakuwaje? wanaolala nao hawa waje kutueleza.
 
Kabla hata ya ku sex, sitongozi kabisa mwanamke aliyejikiroga na aliyevaa nywele za "maiti", mfano hai ni huu hapa chini:

Total turnoff:

DSCI0615.jpg



nywele feki, ngozi faki, nyusi feki, na wedding ring. not bad at all. teh teh teh. mfano wa kuigwa.
 
Harufu mbaya ya mdomo, Utafunaji mbaya wa chakula..........mfano kutoa sauti wakati wa kutafuna chakula, michuzi kuchuruzika pembeni mwa mdomo............kuongea huku chakula kiko mdomoni kujichokonoa mapua, meno na mengineyo ya kukera

Kinda like someone eating a banana and making that sloshing, insane sound right next to your ear. Bwahaaahaahaa!
 
Mabaki ya chakula menoni.....

Haahaaahaa! That shit stinks real bad for real. Halafu tooth picks huwa zinasaidia kwa kiasi fulani tu na siyo effective kama regular flossing.
 
ukiona hivi ujue fwedha ipo na cash transactions ziko juu ..... ukiona mifuko misafii ujue hamna kitu hapo, sepa fasta

Hizo fedha haziingii kwenye wallet jaman..au wallet ndo ishakuwa full kias kwamba zilizo baki zinakuwa distributed kwenye mifuko mengine...Hamna lolote huo ni uchafu tu wakurudia suruali. Wengine soks zinanuka kias kwamba akivua kiatu panya wenyewe lazima wahame makazi.
 
....uchafu, udokozi, uongo, asiyejua kuweka ahadi, msanii, asiyejua kupika.
 
  • Thanks
Reactions: Sal
....uchafu, udokozi, uongo, asiyejua kuweka ahadi, msanii, asiyejua kupika.

asiejua kupika waweza mfundisha,ila hzo tabia zingne noma hazibadiliki BAK
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom