What we need now is 'umoja na mshikamano'

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,678
Mara nyingi nimekua mtazamaji wa mivutano mbali mbali kama kuwa na serikali tatu huku wengine wakidai mbili, wengine wakiponda chama hiki na wengine kukikubali kile, wengine wakisema hili juu ya majanga ya nchi yetu huku wengine wakiwalaumu wale nk.
Well, binafsi nayachukulia yote hayo kama fujo fulani ambayo haitatufikisha popote. Tunachohitaji ni kuishi kwa amani na upendo na kuidumisha hata vizazi kwa vizazi.
Nikijiuliza vyama pinzani, vinataka nini kwa wananchi jibu linakuja, wanataka maendeleo katika nchi yetu. Nikijiuliza swali hilo hilo kwa chama tawala, jibu linakuja, maendeleo katika nchi yetu. Nikichukua swali hilo hilo kwa wananchi wote, jibu ni kuwa wanataka maendeleo.
Very easy, wote tuna dream moja, kwanini tuvutane?
Nchi yetu ni moja, sote ni watanzania, sisi sote ni ndugu. Ndio, kuna serikali mbili kuna major reason ya kuwa ivyo. Leo wakitaka tatu suala hilo likatekelezwa, kesho wengine wakataka nne itakuaje? Wakinyimwa kufanya hivyo si itakua kuna upendeleo kwa baadhi ya sehemu.
By the way, why do we want that? Tunaseparate hili iweje, kwanini mtu afikirie kuwa na serikali yao wenyewe, je ni ubinafsi wa kutotaka kushirikiana na wengine ama ni nini?
Kama ilishindikana kuachieve the goals za serikali mbili, itakuaje na ya tatu? Faida na hasara ya kuwa na serikali tofauti kwa generation yetu, tumezipa kipaumbele?
Tunahitaji kuwa na katiba bora yenye mawazo ya wananchi na kufuatwa na kila mwananchi bila kujali ni kiongozi ama ni mwananchi. Sheria inapaswa kuchukua mkondo wake strictly, pale inapokuwa imevunjwa whether na mwananchi ama kiongozi. TUNAPASWA KUWA NA KIONGOZI MWENYE KUJITOA KWAAJILI YA WANANCHI WAKE TOKA NDANI YA MOYO WAKE NA SIO KWA KUIGIZA. Mwanachi unayo nafasi ya kuchagua kiongozi wako bila kujali kabila kama linafanana na lako ama dini yake na sio kubahatisha.
Ni hayo tu.
Nawasilisha.
 
pole sana mama kwa kujikunja kwenye keyboard kuandika ulichoandika,nadhani ungerudia kuandika upya ili ueleze nia hasa na malengo yako ya kuandika uzi huu.inaonekana kuna vitu flani aidha huvijui au unavijua ila kwa makusudi umeamua kutovitaja kwenye uzi wako huu.
 
Nilitegemea na ninategemea watu wa aina yako kwa kuwa na negative mawazo, najua nilichokiandika na mtu atakaesoma hapo atajua nini lengo langu bila kuuliza, hata mtoto mdogo anajua mambo maovu yanaoendelea nchini mwetu, wengi wanajipa moyo mtu fulani anaweza akawakomboa, mkomboaji wa maovu haya ni wewe mwenyewe.
 
watu wa aina yangu tupo wengi sana,umeandika kama mzalendo flani hivi lakini sijui ni kwa kujua au kutokujua umeshaonyesha msimamo wako katika uzi wako.hivi hukugundua kuwa umeshaweka msimamo katika muungano?umeshafanya uchanganuzi wa hii kitu au unashabikia tu?
 
Aliyekudanganya mimi ni mshabiki ni nani? Kama huo msimamo umeuona kwanini mwanzo uliuliza? anyway, sitaki kufanya kile nichukiacho, hayo ni mawazo yangu, na yale ni mawazo yako, over, thank u kwa mchango wako, GUD AFTERNOON SIR.
 
Back
Top Bottom