Wivu ni kawaida katika maisha hata we Kama una jamaa yako ana chombo kuliko chako automatically lazima wivu iusike
Wachache watakuelewaCost yake ni kuloose ambition za kiume ...mfano mwanamke aanze kucheza mieleka , ni kweli ni Sanaa na atapata hela ni kweli kabisa , Ila atauforce mwili kuwa kama mwanaume ili kuendana na Sanaa anayofanya , na mwili utarespond , na hvo kuna character za kike zitapotea
Aisee
Tatizo letu wabongo ni stress, sasa kuna tatizo gani kwa msanii kufanya sanaa yake, mbona akifanya joti hauoni tatizo.
Picha mbili za mwanzo nilidhani msichana huyo dogoDogo ana kipaji kizur Sana , lakn sasa anakoelekea , sio poa baadhi ya reaction za mwili zinajengwa na mazoea , baada ya mda sitashangaa anakuwa na mambo ya kike kike...ajitahdi kubalance mambo naona sa hv amekuwa extremely kuact kama mwanamke , may be anamake huge [emoji383] , but soon gharama yake itaonekana ....
View attachment 1369436View attachment 1369438View attachment 1369440View attachment 1369441
Mambo yamenoga si muda mchele huo utakuwa wali.
Kama masihara kumbe Ndio anapotea hivyo mamayeeNasikia dogo kasha chomoa betri uko sijui ni yeye au watu wanamsingizia
Ni wivu tu in gwaji voice View attachment 1423065