What went wrong with Dullvan (Nini kimempata msanii wa vichekesho Dullvan)?

What went wrong with Dullvan (Nini kimempata msanii wa vichekesho Dullvan)?

Binafsi namuelewa sana na hunifurahisha sanaa..😂😂😂😂
 
Ndiyo, anavaa mavazi ya kike ila kwenye camera pekee. Ulishawahi kumuona na hayo mavazi after camera?
 
Wivu ni kawaida katika maisha hata we Kama una jamaa yako ana chombo kuliko chako automatically lazima wivu iusike

Mkuu lugha uliyotumia umetudhalilisha mabaharia..

Unamuonea ' wivu 'demu mkali ili iweje sasa..

Yani huo uzuri wa dem unatamani ungeupata wewe?? Ama ulimaanisha nini..
 
Cost yake ni kuloose ambition za kiume ...mfano mwanamke aanze kucheza mieleka , ni kweli ni Sanaa na atapata hela ni kweli kabisa , Ila atauforce mwili kuwa kama mwanaume ili kuendana na Sanaa anayofanya , na mwili utarespond , na hvo kuna character za kike zitapotea
Wachache watakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli make up changa la macho,kama mwanaume anaweza kufanana hivyo na ukamtamani kabisaa!
Sitongozi demu akiwa na make up,marufuku!
 
Tafuta kazi ufanye kijana. Watu wanaingiza pesa we umekaa unapiga domo hovyo mitandaoni!

Kwani nani anajali? Unajulikana hata kwenye ramani ya dunia wewe?

Unadhani maoni yako yana umuhimu wowote ule wa kusikilizwa?

Hebu pambana na hali yako! Ukiona haiwezekani basi na wewe vaa sketi ujirekodi tuone umahiri wako wa kuigiza kishoga!
 
Joti unaona anaigiza amekaa kizege ,huyu kakaa kimchele mchele
Tatizo letu wabongo ni stress, sasa kuna tatizo gani kwa msanii kufanya sanaa yake, mbona akifanya joti hauoni tatizo.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Nasikia dogo kasha chomoa betri uko sijui ni yeye au watu wanamsingizia

Ni wivu tu in gwaji voice
20200419_000256.jpg
 
Back
Top Bottom