What went wrong with Dullvan (Nini kimempata msanii wa vichekesho Dullvan)?

What went wrong with Dullvan (Nini kimempata msanii wa vichekesho Dullvan)?

Kwani yuko wapi? Au kaolewa tayari anatunza mume wake?
 
unamtongozea wapi? kwenye maigizo? kama amevaa uhusika wa mwanamke na wewe ukamfananisha na mwanamke inabidi ukubali ndio kuitendea haki sanaa yake, sasa ulitaka avae uhusika wa wema sepetu ila afanane na kingwendu? ebu wabongo tupunguze stress kidogo. Je angevaa uhisika wa ushoga ingekuwa vipi. sio kila jambo unalipokea kwa mohemko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo liko wapi, hiyo ni sanaa tu, ila hisia zako zilikokupeleka wewe ndo mwenye tatizo
Jamaa mfiraji huyo usishangae kusisimkwa kwa kumuangalia mwanaume mwenzie wakati hako kadogo kanajaribu kuuvaa uhusika wa kike katika sanaa kujaribu angalau pawe na namna fulani ya uhalisia japo kwa mtazamo/maoni yangu sehemu ya mwanamke aigize mwanamke na huyo dogo aigize kama kijana wa kiume.
Vipi mbona hii kadhia huwa haimuangukii Joti au kwa sababu ana sura 'ngumu'.
 
Back
Top Bottom