Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Simwelewi huyu mwamba wa Chitoholi, 2 years before he was the fastest rising singer in bongo fleva history , alikuwa fire Sana pale WCB, kichwa chake kilikuwa kimetulia na alitoa mawe Sana , uamuzi wa kutoka WCB ulipokelewa Kwa hsia tofaut na watu , wengi tulimwelewa pia na kumtakia Kila laheri , kweli anapata support ya media kubwa and some how anafanya vizur kwenye digital platforms, hata hvyo nyuma ya pazia mambo hayapo vizur Kwa huyu mwamba wa Chitoholi.
Project zake nyingi zinafeli , uimbaj wake umeyumba Sana , tangu atoke WCB ngoma nazozikubal ni UNO na Fall in love , ..... Vijembe vimekuwa vingi , nafkr yupo under high pressure Sana , washauri pia ni wengi ambao most of them wanamtia hofu, huku anaonekana kuwa na was was kumantain the top ili kushindana na WCB ambao kimsingi wapo well organized
Amekuwa mtu wa kulalamika Sana , alituahidi mgahawa town sjui umeishia wap , alituahidi Tandahimba fm lakn nothing new , utaskia akiwa jukwaani " wanangu niwaambie kitu, mwezi ujao tunawasha redio hapa hapa nyumbani"
Tuliahdiwa tamasha kubwa sanan November 28, Jana kapost insta analalamika tuu , kwamba issue imefeli na ipo postponed sjui mpak lini....
Ibra alikuwa anatosha Sana Kwa mwaka huu , ukurupukaj wa kusign magrunet mengine yanampa pressure tuuu....
Naona asipobadilika atapotea kabisaaa